Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Why bother using spreadsheet?
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Hii ni kwa ajili ya Sangarara na magenius wengine wa Math. Tafadhli naomba njia kupata value ya 'Y"
0 Reactions
14 Replies
1K Views
What's the historical background of adult education learning in Tanzania after independence? Waku Kwa ustarabu nawasilisha nikisubiri fikra na mawazo yenu. Mzaha Bora ukapita tu.
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Habari yenyu wadau, nasikia jana kwenye news star tv walisema wale wanafunzi wahanga wa vyeti vya kumaliza UCLAS (sasa ARU) watapewa vyeti vyao UDSM, kwa mwenye taarifa naomba atujuze kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
The government may consider restructuring the Higher Education Students Loan Board (HESLB) in a bid to make it operate independently rather than depending solely on funding from the government...
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Wanafunzi kadhaa watakosa masomo baada ya kutolewa darasani kufuatia kikundi cha Wanawake Gairo Mkoani Morogoro kuifunga kwa muda usiojulikana Shule ya Msingi KWIMAGE Trust Education kutokana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa Kweli Hii kozi..si Ya kushauri Mtu kuja Kusoma...nilivYokuwa advance nilikuwa nikisikia eti Chuo Utasoma kwa raha Sana kuliko advance but Naona Mambo Yamekuwa vice-versa Mziki wa Chuo ni Nouma...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
haya sasa batch ya kwanza imetolewa hapa na ndugu zetu hawa hivyo check kama jina lako lipo kama halipo basi subiri batch ya pili na ya tatu Home!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ebana nimepata tetesi kwamba cont students UDOM waliokuwa hawana loan wamepewa so naomba clarification juu ya hili nmeangalia web ya board hakuna. Nawasilisha.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kuwauliza wana JF mliopo hapo UDOM, jamaa mmoja amerudi home kufuata Pamba zake za Haiba na kushonesha Suruali za vitambaa fasta fasta, Jamaa hajawahi kumiliki suruali ya kitambaa then ni...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
More than 2000 pupils in Njombe District, Njombe Region received desks from Tigo in partnership with the Hassan Maajar Trust (HMT) recently. HMT and Tigo donated 680 desks at Ruhuji in Njombe...
0 Reactions
0 Replies
889 Views
hivi naweza kuappeal kama sikupata mkopo jamni?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Teach, tell, advise or inform us about anything that you think will have positive impact in our lives, which may be educational, economical, social, technological, political or whichever. You...
0 Reactions
2 Replies
737 Views
Hapa ni maeneo ya Buguruni, kuna watoto wengi sana kwenye lango hili na ni asubuhi sana saa 12. Ninachujua hapo si shule ya chekechea. Si leo tu. Inawezekana wanapanga foleni ya kupata chochote...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana jf mwenye uelewa kuhusu ELECTIVE COURSE uwapo chuoni naomba msaada katik yafuatayo ----------faidayake baada ya kumliza chuo ---------hasarazake kama hutolichukua kwangu hili naona nikidot...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
AVAILABILITY OF SLOTS FROM UDOM, IUCo AND SEKUCo Based on a special request from University of Dodoma, Iringa University College and Sebastian Kolowa University College, the Commission...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Alikuwa ni Prof. wa Geology pale UDS, na alipostaafu akajiunga na OUT kwa contract. Msiba uko Makongo juu kwa kaka yeka Col. Wilson Malisa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
I am doing a research on world bank financing of development projects in east Africa. There is an emerging trend that WB is either sabotaging development in east Africa by pulling out of projects...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani mpaka leo sijui % ya mkopo wangu,naomba msaada kujua?:sad:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa kweli kuweni makini na vitu vyenu hasa hasa LAPTOP NA ATM CARD ZENU kwa kweli chuo watu ni wezi wakupindukie wengne ni watoto wa matajiri bt mtoto anakuwa na hulka ya wizi sasa hapo kuweni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…