Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari zenu wakuu.. Me naomba uliza kuhusu hii ela wanaita ya special facult kwa 1st year ni lazima kupewa au ni usanii tu maana me naona kama tumepewa ela sawa chuo kizima,,me nasona engineering..
0 Reactions
4 Replies
1K Views
sijui inafikiri nini wanafunzi wa mwaka wa pili, ambao mwaka jana tulikosa mkopo pasipo na sababu ya msingi, yani wametuibia hela zetu na mpaka sasa vyuo vinafungua wanatuletea siasa. ushauri...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Somo tajwa hapo juu lajieleza, nataka nijiandae kwa sitting ya May 2013.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeangalia cv nyingi za wabunge wetu zinaonyesha wengi wao wamewahi kuwa walimu.Lakini cha kusikitisha wanasahau walikotoka kwa sababu ni wachache wanaosimama na kumtetea mwalimu kwa dhati...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Huu utaratibu wa registration hapa DIT unaboa sana, watu wamekuja tangu tarehe 20/10 lakini mpaka leo hakuna matumaini ya kufanyiwa registration
0 Reactions
2 Replies
2K Views
NAMBAAA HIZOOOO KAMA UJAPATA ROOM MPAKA LEO NA UNATAKA KUBEBWA AU UPATAKI MAIN CAMPAUS UNATAKA MABIBO OR VICEVERSA... PIGA HIZO 0654533154.. :A S tongue:
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani kuna tetec za kutoka kwa matokeo ya diploma ila cjawa na uhakika kama vp kama kuna taarifa comfirmed ani company kwa hilo!
1 Reactions
13 Replies
7K Views
ni hatari swali la matching items biology kuwa la topic moja ya jicho,huu ni mfano tu,angalieni civics pia swali la 8
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hivi mfumo wetu wa elimu unawawezesha wanafunzi kufikia malengo yao?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naombeni msaada wana JF wale wenye uzoefu na media organiser kwa mashirika na Makampuni Mbalimbali namaana kwamba nataka kuwa Afisa habari wa kujitegemea nisaidieni Tafadhali namna ya kuandika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni jambo la kusikitisha sana ukitafakari mwenendo wa utoaji elimu kuanzia ya msingi mpaka Sekondari ya juu(A level) kwa hapa Tanzania. Kiukweli hali inasikitisha hasa kwa mtanzania wa hali ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Plz Naombeni kwa anaejua anisaidie reporting date ktk vyuo ni kuanzia tarehe ngapi?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
aise UAUT ni United African Universty of Tz, kipya kinafunguliwa pale kigambon chin ya raman mpya ya kgamboni, kinasimamiwa na wakorea, sasa jaman nani anajua chochote kuhusu hiki chuo na...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Msuli mwanzo mwishi hakuna kulala
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau naombeni msaada wenu kwa anaefaham agents ambao ni wa uhakika wanaolink na vyuo vya nje,preffered destination ni canada kwa ajili ya kusoma masters,au anaejua procedures without involving...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu mnpe kampan hv boom kwa 1 yr hupata baada ya cku ngap chuo kkfungua coz naona sua 2naenda wk ya 3 especially 1 yr tangu 2fungue chuo bt nona kmya kama kusain wengne 2mesain...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
http://www.scholarshubafrica.com/SHA/scholarships/
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimepata chuo na ndooo najiandaa kwenda kufanya reg J3 naomba mnijuze ni kwa muda gani bumu nitapata baada ya kufanya registration. Heko kwa wadau wote
0 Reactions
1 Replies
864 Views
Jamani kwa yule aliye dar samahani naomba aniangalizie DOTTO T. CHARLES niliomba certificate in clinical mediciene (clinical assistants).naombeni msaada wenu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…