UDSM tarehe ya kufungua chuo kwa mwaka wa kwanza wapya ni tatere 17-09-2012. Mara ya kwanza tarehe ilikuwa imesetiwa 1 -10-2012 lakini mabadiliko yamefanyika ,na kila form 1 mpya anatakiwa aripoti...
Nimepata ataarifa kwamba tcu watatoa maelekezo mapya leo ya nini cha kufanya ili uweze kuconfirm,
pia kwa watakaotaka msaada zaidi wanadai mida ya 9:30 kuna afisa atawaelekeza,
PLEASE KWA AMBAO...
Jamani,sisi tuliochaguliwa udsm,pale kwenye matokeo ya form 4 kuna herufi tumeandikiwa ambazo hatujui ni za nin,hzi herufi zko kama ifuatavyo,A,B,C,D,E,F,G,H,J,K,L,M,O,P,R..naomba mnijuze maana...
Wadau najua hili ni jukwaa la kusaidiana kimawazo na fikra,TCU walipoanzisha huu mfumo walituhakikishia kuwa mawasiliano yote kuhusiana na selection yatafanyika kimtandao na ndio maana walitoa...
Jaman kulngana na heslb wanasema kua hii amount wanalpa kama sisahau haizidi 150,000/= sasa haka chuo changu naona wameijumuisha hapo wataalamu nchakachulien.
Kwa anayejua ajila za hii course anisaidie maana wengi wanadai ni ualimu tu. Je akuna option zingine maana me nimechaguliwa tu wakat siku apply so kama haina market naomba mnijuze ili niache...
:israel: Kwa wale wenye shauku kubwa ya kutaka kujua umepangiwa daraja la ngapi na bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa mwaka kwanza udsm yaani 2012/13 angalieni mwisho wa matokeo yenu ya o-level kulia...
.........habari ndugu zangu nashukuru tcu wamenichagua chuo cha moshi memorial college degree ya busness administration with education cjaipata iko vp vp inamaana unakuwa mwalimu wa ishu gani au...
Ni Kutokana Na Bifu ambalo Baba yangu Mzazi amelitengeneza Tangu askie kuwa Nimepangiwa Bachelor of Arts in
Public Relations and Marketing at
St. Augustine University of
Tanzania
anadai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.