Unakumbuka February 8 2012 wakati baraza la mitihani lilipotangaza matokeo ya kidato cha nne? stori kubwa ilikua mwanafunzi alieamua kuandika mistari ya bongo fleva kwenye sehemu ya kujibia...
Taarifa kutoka vyuo mbalimbali vya Ualimu wa Sekondari ( T.T.C) zinasema kwamba mpaka tarehe 20/08/2012. idadi ya wanachuo waliochaguliwa kwenda kusomea stashahada ya elimu ni wachache mno pamoja...
The Arusha-based, East African Business Council (EABC) has joined hands with the Kampala-based Inter-University Council for East Africa (IUCEA) in organizing a forum aimed at linking higher...
ni la kila mwaka vyuo kuongezeka matokeo yake mpaka mtu alikuwa na division 3 ya point 14 eti nayeye anapata chuo.wanasababisha population katika ajira pamoja na kushusha heshima ya degree
Wadau kwa yeyote aliye na swali kuhusiana na chuo iki aulize mapema kwani wa2 weng mkifika pale watawatisha sana hasa kuhusiana na lecture 1 anaitwa Daudi singo
Wale wote ambao wamechaguliwa vyuo/course ambazo hawajaomba kwa mujibu wa afisa wa tcu akitutangazia baadhi ya wanafunzi tuliofika tcu makao makuu, leo jioni watatoa taarifa kwa watu hao ili...
Big thanx kwa TCU kwa kutujuza wapi tumedahiliwa, and now macho na masikio yetu yanaelekea heslb ili tujue kama hizo kozi tutazimudu ama la, mwenye taarifa zozote juu ya hawa jamaa lini wanaweka...
Wadau,
Dada zangu flani hivi wanatafuta Hostel maeneo ya City Centre, zaidi zaidi upanga mpaka tarehe 15-November.
Wako wanne na wako tayari kutoa laki each.
Hostel ziwe upanga, posta au...
mimi nimechaguliwa hapo muccobs kwenye kozi fulani sasaa nilikuwa nataka mnipe maelezo ya kuhusu hicho chuo kipo wap mjini au kijijin vp hostel zipo au ndo za manati nawasilisha by...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.