dah wadau since washatuletea selection hawa tcu sasa tunapumua mana tulianza nao kwenye tatizo la voucher zao na kuchelewesha matokeo anyway ndo hivyo ki2 kishatoka ,wadau ningependa tuambiane...
Jf bila shaka wote wazima,jaman naomba msaada wenu kwa hayo yaliyomtokea jamaa yangu,aliomba na akawa ajachaguliwa kwa 1st round,akaomba 2nd round ifm,majina ya selected to udom akawepo degree ya...
habari! nawaombeni msaada jamani nimechaguliwa katika chuo kikuu cha Mzumbe, lakini nahitaji nijione kwenye matokeo ya Mzumbe ili nihakikishe. Hivyo wapi ninaweza kuyapata matokeo ya Mzumbe? Mana...
:a s 465::a s 465:wapendwa tcu wameliliwa weee, hatimaye wametoa posts sasa hawa jirani zai na ndugu zao wa karbu kiutendaji vipi?? Mbona wamekuwa kimya ua ndio yaleyale??
hivi jaman hawa TCU ni mambo gani wanafanya? kulikoni kumpangia mtu course ambayo hakuomba??? mie cwaelewiii m2 kaomba education anapewa accountancy nini hii?????????????
Wakuu naombeni msaada wa kiwamazo kuhusu hii cozi BACHELAR OF SCIENCE IN SOCIAL PROTECTION pale IFM,inafuture gani coz cijui na ckuichagua,msaada wenu tafadhali
THANK LORD, THANK ALOT, I WILL PRAISE YOU FOREVER
You are Selected To Bachelor of Education in Arts at University of Dodoma
JAPO SIKUIOMBA
LAKINI TWATAKIWA TUSHUKURU KWA YOTE, TUWE NA...
jamani Nifanyaje Nimepangiwa UDSM coz hata sijaiomba alafu Ni ya Science wakati Mimi Nilisoma Arts.. Bachelor of Engineer sijui na Makorokocho gani Asee!!!
Wana jamvi napenda kuwasilisha mada tajwa hapo juu kutokana na ukweli kuwa tcu wajibu wake sasa over ni baada ya kurelease selection.Sasa nawapongeza waliopata nafasi ambazo kwa kuzitumia vizuri...
Wadau wa Compex habari popote mlipo,Mabibina mabwana ni mda mrefu tangu tumalize pale,Ninaposema Makanyagio unapata picha gani,nisemapo MJANE unakumbuka nini,nitamkapo KUDISOLVE je...
TUKIO linaloendelea sasa nchini na katika halmashauri ya wilaya kinondoni ni matokeo na fundisho kwa wanajamii kwamba walimu ni viumbe tofauti na wana namna pekee wanapohendo mambo yao, fujo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.