Wadau naomba msaada nifanyeje kwani mimi nikiingia kwenye akaunti yangu ya TCU napata kama ifuatavyo
SELECTION STATUS-NOT YET PROCESSED sasa sielewi kama niko admitted au vipi na pia kwenye majina...
Msaada tafadhali kuna ndugu yangu amepata admision IFM kwenye programe:
Bachelor of Science in SOCIAL PROTECTION naomba mwenye uelewa wa hii kozi anijulisha
baada ya hapo unakuwa nani? na soko...
Wale wote ambao wamechaguliwa vyuo/course ambazo hawajaomba kwa mujibu wa afisa wa tcu akitutangazia baadhi ya wanafunzi tuliofika tcu makao makuu, leo jioni watatoa taarifa kwa watu hao ili...
For those (Form Six Applicants only) with programmes marked "NOT ELIGIBLE or CHECK IN PROGRESS...."
Please >> CLICK HERE << to check for eligibility.
Applicants...
kumbe ile research institution inayolalamikiwa kila siku na wananchi REDET ipo chini ya udsm?
Kumbe mwigulu lowassa j.k, wamesoma pale?
Hata dr michael kadeghe kumbe alikuwa pale?
Serikali za Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar zatoa azimio la kuwataka wanafunzi na vijana kuweka mbele maslahi ya nchi kwa kuelimishana na kuhamasishana juu ya haja ya...
Kuna dogo wangu kachaguliwa LLB Open University anataka kubadilisha kwenda LLB ya jioni pale Turdaco.
1. Je inawezekana kubadili chuo after hizo Admission za TCU?
2. Vipi kuhusu sifa za...
kwa mnao soma sua au pengine mnaoifahamu hii fuclt ya bach. sciens in agricultural and agroeconomics vip naski
a mziki mnene au mnasemaje? pia isn it mrketable. tujiandae kuja kusoma vt gan?
Jaman kuna kachuo kameongezwa 2nd round selection n kabranch cha SAUT kako Songea kana doctor of medicine so kama pcb na cbg unaomba through tcu kwa walio kosa na kama ulshachagua chuo kngne...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.