Wadau mimi kuna kitu nimegundua kuhusu hii selectio ya ud na labda niulize wenzangu kama mmeona kitu kama hiki au hata mapungufu mengine.Hii selection inaweza ikawa ya kweli ila hata hivyo kuna...
Ndugu jf
Niliomba admission kupitia TCU katika unversity mbali mbali kama vile Mucobbs lakini chakushangaza nimechaguliwa na kozi wameweka wanayo jua wenyewe nakuacha ambazo mimi niliziweka...
Kwa mujibu wa ushahidi wa visukuku vilivyopatikana Kaskazini mwa Kenya kuna aina mpya ya binadamu walioishi huko takriban miaka milioni mbili iliyopita, wamesema wataalamu...
1.MECHANICAL ENGINEERING-
hii ni moja ya kozi nzuri sana , na ndo ina soko kuu kwa sasa tanzania. kutokana na uvumbuzi wa gesi ambao operation zake zinategemea sana hii major, mechanical inahusu...
hello wanajamii mimi ni kijana wa kidato cha sita katika shule mojawapo inayofanya vizuri kitaaluma tanzania ila naomben ushauri kwa mliotangulia kuhusiana na uchaguzi wa facult maana ninichukua...
Heshima kwa wakuu wote wa jukwaa la Elimu,,naomba kujuzwa kama kuna uwezekano wa mtu kuhama chuo ulichopangiwa na TCU na kuhamia kingine kama qualifications zinakubali..na kama inawezekana...
Habari zenu ndugu? Natumai muwazima na salama. Kwa waokifahamu chuo hiki sitegemei mshituko wowote toka kwao bt kwa wale msiokijua chuo hiki maarufu kama Eckenford Tanga University habari ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.