Wakuu wa jamii
Kuna chuo cha madini Shinyanga kinatangaza nafasi za masomo ya Utafiti wa madini ngazi ya diploma kuanzia Octoba 2012. Wahi mapema, nafasi ni chache. Chuo kinaitwa Earth Sciences...
1.Nini tofauti ya hizo mbili? 2.Ipi ni nzuri na kwanini? 3.Kwa nini BED SC. inachukuwa watu wengi zaidi? Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wanajamvi wote nikiwaomba msaada wenu kwa moyo...
habari wana jamvi. . ,jamani naomba kujua kuhusu hili,mwaka jana udom kulitokea mambo ya mgomo ambyo yaliyotufanya tukae nyumbani kwa muda mrefu sana,baadae tuliitwa kuendelea na masomo lakn mambo...
kuanzia mwaka 2013 mtihani wa kumaliza elimu ya kidato cha sita utafanyika mwezi mei na ule wa kidato cha nne utafanyika mwezi novemba, je kama mwana jamii forums unafikiri mabadiliko haya...
Wadau!
naomba kujuzwa, nataka kufanya mtihani mmoja wapo kati ya hiyo iliyotajwa hapo juu, ni upi ni bora zaidi kwa mimi ambaye nataka kufanya kwa ajili ya kuombea vyuo? na pia upi wenye gharama...
Habari wakuu nimesikia tetesi kuwa degree zinazotolewa na taasisi kama DIT au IFM hazipewi uzito na waajiri kama zinazotolewa na universities pia naskia kwa wale wanao apply vyuo vya nje ya nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.