Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

mwenye selection za saut,mzumbe na isw naomba anisaidie jaman maana ndo xehemu zilizobakia kungine sipo hata moja
0 Reactions
1 Replies
889 Views
Sorry members, Am in serious need of help on how to collect research data from the field because i know nothing on that and am supposed to do that. please i ask for a very serious help on that...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jamaini tumaini university ya dar bado haijatoa? nina mdogo wangu kwenye list ya tcu ya waliokosa hayupo nauliza tumaini haijatoa
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Napenda kuuliza kama kweli wizara ya elimu imetoa fursa ya pili kwa wale ambao hawakuchaguliwa ktk level ya Stashahada (vyuo vya ualimu) kufanya tena application.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ninasema hivyo ni kiwa na maana kuwa uelewa wa mambo mengi ni kitu muhimu sana kwa binadamu tena katika zama hizi za utandawazi.Watanzania wenzako,naomba tuwe na jitihada za kujifunza mambo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Samahani kwa wale watakaodhani nimeiweka hii mada sehemu isiyohusika. ukweli ni kwamba wingi wa wanafunzi elimu ya juu ndiyo kusogea kwa mazishi ya sisiem, uanaweza usielewe ninamaanisha nini...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Huu ni ujumbe wao unaosambazwa kwa kasi sana kwenye mitandao na simu baada ya Serikali kutupilia mbali mdai yao ya msingi: "Ndugu Mwalimu, katika somo au masomo yako hakikisha humwandai...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
jaman msaada kujua kama leaving inaumuhim na inatumika wap maana yangu ilifuliwa kwenye begi hata haitamaniki kabisa msaada wakuu
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Wadau habari za Asubuhi na poleni na mihangaiko ya maisha ya kila siku, mwenzenu naombeni msaada kwa yeyote yule anayejua kuhusu mitihani ya TOEFL, nasikia inafanyika UDSM so nataka kujua ada yake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Hello wanajamiiforum mi mzima wa afya.Je Vp kuhusu tcu?majina ya waliokosa mbona siyaoni?nijuzeni kwa hili.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Dodoma — SOME 176 primary and secondary school heads have been demoted for their role in examinations cheating, the Minister for Education and Vocational Training, Dr Shukuru Kawambwa, has told...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Migomo, migomo, migomo ya walimu! Eti kuna mwalimu anagomemea sh. 250,000 kwa mwezi, kwani huyu mwalimu anayelipwa mshahara huu anazo sifa gani za kulipipwa zaidi? Yeye ni form 1V division IV...
0 Reactions
113 Replies
10K Views
Hapo Novemba mwaka jana Higher Education Students Loans Board Act ilirekebishwa katika Section 20 na ikawa inasomeka hivi "Deduct 8% of the basic salary for employee who is a loan beneficiary and...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
jaman ni nan anaijua vizur automobile engneering aniambie ukishaisoma unaweza fanya kazi gani? Ina maslahi? Unasoma nini hasa? Ni hayo tu, nielimisheni
0 Reactions
2 Replies
3K Views
I stumbled, i bumped into, ,collided with ,guess it was written, with men of scriptures, oh me So simple, so calm in a turbulent world. It happened -flashback to Steven Kumalo Anglican priest...
0 Reactions
0 Replies
885 Views
SN INDEXNO SURNAME FIRSTNAME MIDDLENAME SEX PROBLEM NUMBERS 1 S1198.0049.2005 MANYAMA ONESMO A M 1 2 3 4 2 S0661.0006.2002...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wanasaut tokeo limebandikwa kwa chuo this mchana, na badaye net so km una hurry ya kuchek tokeo fanya mawasiliano na mtu wa mwanza akuchekie.
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Hapo Novemba mwaka jana Higher Education Students Loans Board Act ilirekebishwa katika Section 20 na ikawa inasomeka hivi "Deduct 8% of the basic salary for employee who is a loan beneficiary and...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wana jf mim nna kaswali kangu kadogo ivii kiwango cha mwisho cha elimu ni kipi u profesa au kuna zaidi ya hapo plz nijib
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana jf swali langu ni kwamba ivi katika historia ya vyuo vikuu tz kuna mwanafunz alipata gpa ya zaid ya 4.8 !
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom