Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Ndugu zangu wana JF naomba yeyote mwenye selection za Mzumbe na Ardhi University anisaidie maana kuna tetesi kuwa majina yashatoka.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kusaidiwa mm ni mwalimu (Diploma Holder) masomo ya Sayansi Geography anda Chemistry nimeomba kusoma Degree Education katika masomo hayo na niliomba mkopo pia lakini nasikia kunatetesi Eti...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
bodi muwemakini kuangalia information za wanafunzi;;;thn ndo mnaandika majina yao kwenye mtanda;;;;:sleepy:
0 Reactions
1 Replies
922 Views
Wakuu naomba msaada wenu, hasa kwa wale walioko nje ya nchi, natafuta mahala naweza kufundishwa soft skills, kama vile business communication skills, speech preparation and delivery, power point...
0 Reactions
1 Replies
982 Views
Hivi inamaana tcu hawajatoa kitu? Mbona leo kunamtu ananieleza wametoa? Au CHENGA TUPU?
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Jana Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi iliwasilisha makadirio ya matumizi kwa mwaka wa fedha wa 2012/13 huku ikieleza kuwa inajipanga kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazoikabili...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Go to you account and below you name you will see the word say '''yuo are admited or you are not admited''''''''''''':a s 465::a s 465::a s 465::a s 465::a s 465::a s 465::a s 465:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dear Applicants, The second round for the admission into Central Admission System is officially opened from 13th August, 2012 to 25th August,2012.Those...
3 Reactions
94 Replies
14K Views
CHANGE OF DATE FOR FINAL YEAR SUPPLEMENTARY EXAMINATIONS FOR 2011/2012 ACADEMIC YEAR Be informed that Supplementary Examinations for 2011/12 Final Year students of the University of Dodoma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwenye selection za wizara ya afya tafadhari anisaidie maana mda unaenda afu kwa page yao hakuna kitu natembelea daily ina ni cost sana jamani
0 Reactions
2 Replies
781 Views
Matokeo chuo cha mifugo out.....http://www.mifugo.go.tz/documents_storage/WALIOCHAGULIWA%202013.pdf
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini za mchana hapa nilitaka tu niwaonyeshe hawa majamaa wanavyochanganya watu maana ukiangalia website yao wameandika kuwa watu ambao awajaweka guarantor's photo wanabidi watume tu kwa barua...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
UKIFUNGUA PAGE YA TCU KWA SASA;HAIFUNGUKI AS NORMAL SO MAMBO YANAPACHIKWA:israel:
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Natoa wito kwa vyuo vingine kutoa selection zao na si kusubiri hawa TCU.Kuna watu wanasubiri hizo selection ili kama wamekosa wajiandae kwenda vyuo hata vya Diploma.Kuna vyuo kama hiki chuo kimoja...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
A German computer expert will instruct you how to manage all necessary jobs with his software selection free of costs, fully legal and especially smart. Spend the traffic jam time between 5:30pm...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tafauti yake ipi? Na kwenye kazi pia inakuaje?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari,nmefungua acc.yangu ya tcu kwa kutumia computer nikakuta wameniandikia "your are addimitted"bt nimekuja ku login tena kwa kutumia simu ya sioni chochote,kuna anaweza kuni dadavulia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Chuo kikuu cha afya muhimbili kimewafukuza chuo baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa tano na makumi wengine wamesimamishwa masomo kwa miaka miwili kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kutumiwa na chama...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
kwa walio soma bachelor of science with education (bios na chemia) udsm....anaweza kusoma masters gani??i mean yenye soko nzuri
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Dear Applicants, The second round for the admission into Central Admission System is officially opened from 13th August, 2012 to 25th August,2012.Those who did not apply or could not be...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom