Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

APPLICATION SECOND ROUND liko kwa wote au ni kwa wale ambao hawakuwa selected?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu,nimeona jna langu kwenye list ya udsm,nimechaguliwa bachelor of arts in economics.
0 Reactions
68 Replies
7K Views
Habari zenu wanajamvini, mie nina dogo wangu mmoja alikuwa anapply via tcu sasa ikawa inamgome sana akaenda tcu walikuwa pale viwanja vya posta wakajaribu nae wakaona kweli inagoma alikuwa...
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Oya wakuu mnaosoma udsm,naomba kuuliza,ikiwa mtu umechaguliwa ud,ile admission letter utatumiwa kwa njia ya posta au utaikuta chuo,na vipi kuhusu hostel,utajuaje kama umepangwa main cumpus au...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
wadau anaejua kuandika CV nzuri anielekeze wakuu
0 Reactions
2 Replies
998 Views
wakuu..... naobeni msaada wenu wakubwa, mimi nimeapply katika chuo cha N.I.T, tafadhalini kwa ambaye anafahamu kama selection zimetoka na anazo karibu naombeni sana azitupie humu! ni ombi wakubwa!
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wanajamvi naomba mwenye wasifu wa katibu wa uenezi na itikadi wa CCM Bw. Nape Mnauye anirushie.Maana nimekuwa nikifuatilia hoja na kauli zake nashindwa kumwelewa kabisa, ni porojo tu. Msaada please.
0 Reactions
60 Replies
16K Views
izo selection za UDSM wanazigeuzageuza.....tusifurahi saaaana tulochaguliwa....babu yangu kutoka UFIPA amenibonyeza
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ingia web ya TCU na ulog in kwenye account yako.Nenda kwenye profile yako uclick hapo.Profile ikifunguka nenda kaclick kwenye application 2nd round.Baada ya kuclick itakuja option ya add code ya...
8 Reactions
117 Replies
9K Views
Welcome to HESLB NOTICE TO 2012/13 LOAN APPLICANTS During the exercise of processing 2012/13 loan application forms the Board has identified loan applications which are...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Weclome to TCU Central Admission Sytem, please Login
0 Reactions
0 Replies
1K Views
FANYA HIVI KUJUA KAMA UMEPETA CHUO AU LA! Dear Applicants, The second round for the admission into Central Admission System is officially opened from 13th August, 2012...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
jamani wadau wenzangu kila kazi ina mamlaka husika hivyo naomba huu uongo mdogo kila mtu anaotoa tuuache kwanza tuwaze mabo mengine kazi ya kuweka majina ya wanaoenda chuo ni ya TCU peke yao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Welcome to HESLB NOTICE TO 2012/13 LOAN APPLICANTS During the exercise of processing 2012/13 loan application forms the Board has identified loan applications which are missing some vital...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kwa kuwa sina uhakika na uwezo wa cwt wa kuwalipa waalimu wakiwa katika mgomo,na kwa kuwa sheria za nchi zinasema kuwa ukifanya kazi kuanzia tarehe moja mpaka 15 unastahili kupewa mshahara,hivyo...
0 Reactions
1 Replies
903 Views
jameni nashindwa kuelewa kuhusiana na mafanikio wanayoyapata wanafunzi wetu. serikali yetu naona kama haiko makini katika kuwatambua mchango wa vijana hawa. miaka fulani iliyopita wanafunzi hawa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ingia cas katika account yako utakuta ujumbe na pale chini ya jina lako utakuta ka uko admited au not admited..
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wadau naombeni msaada. jina langu limeonekana katina mtandao wa bodi ya mikopo kwamba sikupeleka birth certificate lakini nilipeleka. nifanyeje wakuu ili niweze kupata mkopo.naombeni msaada wakuu...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Jamani naomba kunukuu hii post "Ingia web ya TCU na ulog in kwenye account yako.Nenda kwenye profile yako uclick hapo.Profile ikifunguka nenda kaclick kwenye application 2nd round.Baada ya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
embu tembelea akaunti yako ya tcu kuna ujumbe mpya.! Bt mimi nimeshangaa sana kukuta hili neno not admitted !! Ooh my God kama kuna yeyote mwenye uwo ujumbe aniambie !! Hapa nilipo nahisi kufa
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Back
Top Bottom