Nipo Igunga mapumziko. Kuna kijiji cha jirani (20km) watoto walifaulu 42 wote wakaripoti shule. Baada ya mwezi wameacha shule na sasa kati ya hao 42 wamebaki 5 tu.
Igunga inakwenda wapi? Mbunge...
Nipo hapa nimeboreka, najaribu ku-reminisce matukio mbalimbali ya maisha yangu. Wangapi hapa walishuhudia hii shughuli kwa namna moja ama nyingine? Unakumbuka nini kuhusu tukio hili?
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo, George Nyatogo
BODI ya Mikopo ya Elimu ya Juu nchini pamoja na Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imewaengua zaidi ya wanafunzi 3074 walioomba vyuo na...
Jana kwenye changia chadema.mh mbowe alitoa vipaumbele vitatu pindi chadema watakapoingia madarakani mwaka 2015.ipaumbele hivyo ni:
1.elimu
2.elimu
3.elimu
walimu wanachotakiwa kufanya kuanzia...
serikali iliangalie suala hili kwa sura ya nje sio ya utawala wa chuo
sababu aliyotoa waziri kuhalalisha kunyima vyeti wanafunzi kwa sababu eti waligoma kusaini
sio sahihi. wawaite...
Kwa taarifa nilizozipata kutoka kwenye website ya Tanzania Commission for Universities (TCU) zinasema;"kwa wale waliomaliza kidato cha sita, Diploma za Elimu Ufundi na ualimu mwaka 2012 wataanza...
Kuna habari nyingi mtaani kuwa mb John Mnyika ana masters degree toka nchini brazili, mwenye habari na hii naomba atujuze na ni nai aligharimia hiyo degree kwani pamoja na kumjua mnyika hili...
Jamani habari zenu?
Naomba msaada wenu katika hili,dogo wangu anashindwa kulog in kwenye account yake ya TCU wakati mwanzoni kipindi cha applications alikfanya vizuri tu na akawa anaweza kuingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.