Wana Jf Naomba mungu hawa jamaa wasifanye madudu kama walivyo fanya mwaka jana yaani students hayupo katika list ya wanaotakiwa ku reapply for second round na vilevile hayupo katika missing...
Semina za sensa zinaendelea karibu nchini kote katika Tanzania huku kukiwa na habari kwamba asilimia kubwa sana ya walimu ambao walidhaniwa ndio wangeliendesha zoezi hilo wakiwa nje ya semina...
nawasalimu wana jf wote wakubwa kwa wadogo..wadau ningependa kujua chances ya kubadili course pale muhas ikoje kwa wale mwaka wa kwanza mfano kuhama bpharm kwenda MD...naomba msaada wakujuzwa wakuu
Sasa hivi wameweka 2ND APPLICATION kwenye tool bar. Je ni kwa wale ambao hawakupata? kama hawajatoa matokeo ya first selection how come waweke 2nd application? Kuna mwenye fununu?
Nahuzunika sana na hii statement "First come first served" hii ni kauli ya kibaguzi kabisa. kwa wale ndugu zetu wa liopo vijijin kwa sasa hawana chao hapo hata kama wana sifa za kuingia chuo...
Jaman haka kampango cha round ya 2 katawanufaisha wanao mlk vyuo vya privet mana wao ndo watapata wateja weng na some of watoto w mama ntilie nkuambulia non-priority facuty
Wapendwa katika Elimu, hawa TCU wanatutania ? Mbona kimya kimezidi na hii ni Almost mida muafaka? ama mimi ndo ninapressure za bongo. Kama wameshindwa kazi basi waviache vyuo vifanye kazi zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.