Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

habari zenu.. Kutokana na mchecheto nloingia nlipoingia account yangu tcu baada ya kua not admitted, nlijaza bach.sci.in automobile engneering ya N.I.T.. Nkaambiwa nko admitted bada ya hapo..sasa...
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Wadau kwa mitazamo yenu n koz gan ya engineering inayolpa kuliko zote?
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Nimeikuta habari hii nikaona niilete hapa tujadili; WIZARA YARUDISHA MIHULA YA ZAMANI YA MITIHANI FORM FOUR NA SIXW Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imerudisha utaratibu wa mihula kama...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Usikurupuke tu kwenda kwenye guide book soma nafasi ya kozi zilizopo au click hii link hapa(www.tcu.go.tz/uploads/file/SLOTS.pdf) kuziona.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MicroResearch workshops provide training to do your own community based research, especially research that will improve health for mothers and children. · Encourages collaboration, ·...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naomba mnieleweshe kuhusu ivyo vyeo hapo juu na m2 uwe na elimu gan ili uwe na hicho cheo kama nilivyovitaja?
0 Reactions
28 Replies
3K Views
ndugu zangu wana jf inamaana kuwa ukiambiwa kuwa umekuwa admitted,kwa hiyo inamaana kuwa wewe tayari umepata chuo na mkopo au tutasubiri kuambiwa kuwa umechaguliwa lakini mkopo hupati au vipi?.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ifm wamebandka selectn zao hii ni valid issue kama uliaply jarib kuchek na m2 unaemjua anaxoma pale
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Tembelea website yao utajionea mwenyewe.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Naomba mnisaidie kwan nashindwa kuelewa tcu wanampango gani mpaka ss kwan majib yanatoka Nusu nusu we ar tired
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimemlipia mtoto ada ya shule kwa muhula mzima ,ikiwa ni pamoja na tuition fee,usafiri,chakula na accomodation.Baada ya wiki tatu shule inafungwa na hapo hapo mtoto anarudi na invoice nyingine...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wale wenye dungu, jamaa, marafiki na watoto kidato cha nne 2012
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ANGALIA HAPA KAMA JINA LAKO LIKO HAWA NI KWAWALE AMBAO INFORMATION ZAO HAZKOUndergraduate applicants with multiple problems in their application forms:A S 465:
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Udsm wametoa selection ktk baadhi ya ya course tu nashsngaa course nyingine mpk leo kimya imekaaje hili? Pia cbe nao kimya ktk selection za postgraduate diploma. Msaada wadau
0 Reactions
1 Replies
1K Views
THE LIST OF SELECTED CANDIDATES FOR DIRECT ENTRY 2012/2013 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 32 33 34 35 36 37 38 39 40 41 42 43 44 45 46 47 48 49...
1 Reactions
3 Replies
12K Views
Wakubwa naomba kuuliza,nimekua nikiona baadhi ya wanafunzi wa udsm na udom humu jf wakiongea kuhusu account zao za aris,nilichogundua ni kwamba aris ni a/c ambayo kila mwanafunz wa chuo husika...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Walimu wakuu, wasimamizi wa mitihani na wamiliki wa shule waliojihusisha na udanganyifu wa mitihani katika shule za msingi na sekondari wamechukuliwa hatua mbalimbali zikiwemo kuwafutia wanafunzi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Serikali imeamua kuanzisha mfumo mpya wa utahini wa elimu ya msingi ambapo masomo yote sasa, mpaka Hisabati itakuwa ni mtihani wa majibu ya kuchagua. Wataalamu watakaoandaliwa katika mfumo huu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba msaada wa mwana JF yeyote ambaye ataweza kunipatia kitabu hiki muhimu kwa electronic form. kitabu chenyewe ni,Evaluating clinical and public health interventions, Apractical guide to study...
0 Reactions
0 Replies
209 Views
Back
Top Bottom