UDOM....AFWATILIE, tena AHOJI WANAFUNZI kama kweli waligoma kusaini vitabu vya majina kupewa mikopo..yeye mwenyewe, achukue sampo ya walionyimwa vyeti.:director:
wenzenu bodi na chuo wanaubiri...
Sheikh mkuu wa Tanzania, Sheikh issa Bin Shabani Simba, akiwahutubia waumini wa dini ya kiislam na wadau wa elimu, waliohudhuria harambee ya kuchangia fedha kwa ajili ya ujenzi wa bweni la...
Wanabodi hasa mliopitia FTC
Nina mdogo wangu ambaye alihitimu FTC pale DIT course ya highway engineering na akapata B moja, C tatu, D moja na F moja, ni muda kitambo tangu ahitimu na alishindwa...
kwa wenzangu tuliona tatizo ktk fomu za bodi ya mkopo nmekosa pcha ya mfadhil na signature wanavosema naipata wapi fomu mpya au nafanya nn??naomben msaada wadau asanteni
Wana Jf.
Katika kuonesha kwamba walimu tumechoshwa na kupuuzwa na serikali sasa tumeamua kutumia Silaha ya mwisho ili matokeo yake iwe funzo kwa serikali hii dhaifu kama msg inavyosomeka hapa...
mbona kwenye profile nyingine kama ya rafiki yangu kunazo selections zote alizochagua kwangu hamna kitu kama hicho nashindwa kuelewa tcu wanamaanisha nini kwa ambao selection status zetu hazipo...
Kwanza kabisa nawaomba radhi kwa kuweka kitu tofauti na maudhui ya jukwaa, lakini imenibidi kufanya hivi ili kuokoa jukwaa letu tukufu.
Siku za hivi karibuni wameibuka wadau ambao wanamlengo wa...
jamani tumaini university ya dar es salaam bado hawajatoa waliochaguliwa/
kuna mdogo wangu kwenye majina ya waiokosa tcu hayupo vyuo vingine nimeangalia hayupo sasa bado tumaini ya dar .
ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.