WANAFUNZI 201 kuanzia darasa la tatu hadi la sita katika shule ya msingi Kidugalo kata ya Rwinga wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma wanasoma katika vyumba viwili vya madarasa kwa kugeuziana migongo...
for those who applied for degree programs in different universities those who have been slected their names has been sent to respective universities if there is a person of whom u know please get...
JF members I would like to know if there is any probability for a CBG student to go for further studies in the field of Doctor for medicine. Your comment will be appreciated.
MSIBA MKUBWA CHUO KIKUU CHA WAISLAM MOROGORO.
Hawa ni miongoni mwa wanafunzi inasadikiwa miongoni mwa waliofariki dunia katika msiba wa Meli iliosama hivi karibuni wakielekea Zanzibar
Jumla ya...
Majina ya waliochaguliwa kusoma Postgraduate studies katika Chuo Kikuu cha Dodoma haya hapa: http://www.udom.ac.tz/index.php/list-of-successful-applicants-2012-2013
Wadau, Vyuo Vikuu pawe mahala pa kuleta mabadiliko, mitazamo mipya ya kimaisha, kuzitumia fikra sahihi za wanafalsafa na kuleta changamoto zitakazoibua mifumo mipya ya kimaendeleo na si sehemu ya...
Ndugu wana Jamvi la ELIMU kama mada inavyo jieleza, naomba kuuliza kama kunauwezekano wa Mtu alie soma degree ya Mining akaja kuchukua Masters ya Petroleum? hii ni kutokana na upungufu wa vyuo...
ni nchi gani ambayo inatoa masterz nzuri na ada yake sio ndefu sn? niliapply vyuo vya UK ila ada inarange kwny 25M mpk 35M hivi ambapo kwa private wala ctaweza kujilipia, nishaurini nigoogle vyuo...
I am interested with the habit that Jamii forums members haveof sharing with each other life issue, I would like to ask for your favor.Currently I'm having an offer later for the Master of...
eti kuna wa2 wanasoma doctor of medicine bugando ambao a'level walikua na total point of 5 yani dde, naomba msaada tafadhali kwa wenye ufahamu kuhusu hlo, thanks in advance wakuu
Hii nafikiri inasababishwa na upungufu wa walimu hasa kataka shule zetu za kata ambapo utakuta shule ina waliu watatu au wanne ambao hujikuta wanakuwa na mzigo mkubwa wa kufundisha idadi kubwa ya...
Wana JF
Mimi ni mmojawapo wa watu waliomaliza Diploma mwezi June mwaka huu, na mpaka matokeo yanatoka tayari muda wa kuomba kupitia mfumo wa CAS, ulioendeshwa na TCU ulikuwa umepita, sasa napenda...
Wanafamilia wa JF,
Habari za muda huu, naomba kuwashirikisha hitaji langu.
Nilikuwa na shida ya kudownload hizi paper:
1. ''Design procedure for border irrigation''A. A. Alazba
2. ''Numerical...
Habar wadau,
Nina wazo/maoni. Kwa nini kusingekuwepo utaratibu ambao utahakikisha mtu anapofariki basi hata vyeti vyake visitumike tena? Kama vile vyeti kurudishwa tena BARAZA/CHUO... Inauma...
Hivi kwanini kila serikali za wanavyuo zinapochaguliwa na wanachuo wenyewe kwa nini utawala hupenda kuingilia kati maamuzi ya wanachuo kuleta uvunjifu wa amani vyuoni..Mfano UDSM, LUKO...
Mimi nimechoshwa na baadhi ya thread za watu,najua kila mtu anahamu ya kujua amepagwa wapi,ama ndugu yake amepangwa wapi. Lakini tatizo watu wengine humu wanatumia vibaya hili jukwaa,kama mtu huna...
Nimemaliza A-LEVEL 2009 PCM,napenda kusoma biolojia ili nitimize ndoto yangu ya kua daktari,kwa vile nilifaulu vizuri chemistry,physics na adv mathematics.Naombeni msaada nifanyeje ili niweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.