Wadau,nisaidieni nipo huku s/wanga course zangu inapata wiki sasa check in progress,wakati zilikuwa vizuri tu
kwa anaye fahamu lolote anisaidie maana tcu cm hawapokei.
Jamani nikweli m2 anaweza pokelewa ktk chuo kikuu chochote hapa tz kwajili ya mafunzo ya digrii ikiwa amehitimu mafunzo ya diploma ya elimu ktk chuo cha moumt meru university bila kupitia kidato...
Wakuu nitakuwepo jiji hili la nusu raha nusu taabu, kwa muda mrefu kidogo. Naomba kwa anaye fahamu sehemu ninayoweza kujifunzia lugha ya Kijerumani anisaidie, ikiwezekana na bei zao. Natanguliza...
Serikali ina mpango wa kufuta ufaulu wa Daraja la IV (Division IV) kwa wahitimu wa kidato cha IV kwenda kusoma katika vyuo vya ualimu. Suala hilo limedokezwa leo na Naibu waziri -Phillipo Mulugo...
Theres a popular NYTimes oped titled Is Algebra Necessary? which questions the need for kids to learn advanced math. The author cites that failing algebra is a large reason why many students...
Wadau mliopitia Bungo primary school kwa Mwalimu Achimpota..kama mpo umu tukumbushiane enzi zile mie nimepitia pale mwishoni mwa miaka ya tisini..ilikuwa ndio the best primary school.
Ndugu zangu,nina kijana wangu amemaliza kozi ya ualimu mwaka huu,amefauru masomo yote ya ualimu wa primary isipokuwa somo moja tu la UALIMU,Akaandikiwa FAILED,Nahitaji kukata rufaa naomba msaada...
Wadau hili swali linaumiza sana.
Naombeni mwenye kujua,wakati waakoloni wanaligawa bara la afrika ujerumani ndiyo lilikuwa taifa kubwa na mkutano wa kugawa ulifanyika kwao na wao ndio walikuwa na...
Habari za saa hizi mabibi na mabwana!
Kwa wadau watoto wa wakulima, eti kuna ongezeko la ada la vyuo hv kutoka 75000/= mpaka 100000/=? Kama lipo sio mbaya je linawahusu wanaoanza au wote...
Harun alimwajiri jasusi makhususi kwa ajili ya kuchunguza na kuripoti kwake juu ya imani na akida sahihi za Bahlul. Baada ya siku chache huyo jasusi alikamilisha uchunguzi wake na kuripoti kwa...
Wadau msaada wenu mwenye kujua hii kitu ,kinaanzishwa sana ktk mapori yaliyoifadhiwa na inafaida gani kwa wanakijiji au ndo njia ile ile ya kuwaumiza wanakijiji?
MIGOMO KISHA MAHAKAMA ZIKASEMA NI BATILI BADO KUAHIRISHA HAKI SIO SULUHISHO LA MADAI YA WANYONGE
Hatuwezi kuwalipa Madaktari iweje tuwalipe hawa wana wa wito kama hawataki tunazowapa wanaweza...
Jamani muda huu nimelog in kwenye account yangu kuona kama kuna jipya.Cha ajabu nimekuta ktk zile program nilizochagua kuna moja imeondolewa na badala yake kwenye ile nafasi nimekuta kozi nyingine...
Dear, Jamii forum members, a community of great thinkers, Iwould like to ask for your favor. Currently I'm having an offer later for theMaster of Education Gender and International Development...
By Edward Qorro
The Citizen Reporter
Dar es Salaam.
The
use of internet
among higher
learning institutions must be something
to worry if the latest
ranking on
Information and...
Prove that 2+2=0.
Art student this question is out of syllabus.
Commerce student problem is not well defined.
Doctor research in progress but no result found.
Engineering student...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.