Chalii amenijuza kuwa Mkuu wa Wilaya Korogwe ameingia darasani kufundisha hesabu za kujumlisha darasa la saba na maumbo darasa la sita kufuatia mgomo wa walimu. Mkuu huyo aliingia kupiga nondo...
Wataalam wa uchumi hebu tusaidieni nini hasa maana ya ongezeko la mshahara. Napata wasiwasi sana na hizi nyongeza za mishahara kwa serikali kila mwaka. uhusiano wa ongezeko la mishahara na kupanda...
Wakuu nani anayo au anaijua cv ya mwanahabari nguli hapa Tanzania Bwana Saed Kubenea???
Naomba kama kuna mwenzetu mmoja humu ndani anayo ama anaweza kuipataatuwekee ili tumfahamu shujaa wetu huyu...
Nimekusikia bungeni waziri ukisema mtajitahidi kufanya kila linalowezekana kupata wataalamu wa Counselling
Kwa taarifa yako baadhi ya walimu wamesomea unasihi yaani counselling mimi nikiwa mmoja...
Bwana Kiwia, Afisa elimu sekondari wa Korogwe vijijini apandishwa kizimbani kwa ulevi wakati wa kazi
cheki hapa :Ofisa elimu wilaya adakwa akinywa pombe saa za kazi
Mashaka Kibaya,Korogwe
WAKATI mgomo wa walimu ukiendelea kufukuta nchi nzima na Serikali ikijaribu kuuzima, Ofisa Elimu Sekondari wa Halmashauri ya Korogwe, anadaiwa kukamatwa kwa tuhuma za kunywa...
Hi Wana jamvi, nimeperuzi website ya ministry of education na kutazama post za ualimu! Wapo wengi ambao majina hayaonekani/hawakuchaguliwa.
Je, kuna utaratibu wa second selection?
kunajamaa yangu alipata matokeo haya1.History C
2.Kiswahil D
3.Language D
4.General Study -failed
haya ni matokeo ya A-level.anaweza aka apply course ipi na...
Unafki na uwoga miongon mwa walimu,kupata suluhu itakua ni ndoto,mmeambiwa msiende kwenye vituo vya kaz,mnakwenda,na kura ya kuunga mgomo mlipiga bila shuruti...je kwa namna hii tutafika kwel??
Napata shida sana kutafuta chanzo cha kushuka kwa ubora wa elimu nchini hususani pale ambapo unakuta kuna wanafunzi wanahitimu darasa la saba bila kujua kusoma wala kuandika. kwa misingi hiyo je...
Katika utafiti nilioufanya kuanzia Julai 31 hadi sasa nimegundua makundi matatu ya walimu waliokataa kuunga mkono mgomo na sababu zao. KUNDI la kwanza ni la walimu walioajiriwa Februari 2012. Hawa...
kwa kuwa aliahidi kuboresha elimu, na kama ni kweli alifuta zile posho za kufundishia wakati ule, basi walimu wanastahili kugoma wakati wake, na kwa kuwa baadhi ya mawaziri wanajibu hoja...
habar wana jf?
Uongoz wa chuo cha mahakama lushoto (ija) wamerusha majina hewan kwa wale walioomba kujiunga na mafunzo ya uongozi wa mahakama ktk koz za certificate na diploma. Majina yao...
Salam kwenu wana jamvi hivi kweli uzalendo tuliofundishwa na mwalimu Nyerere,mapendo tunayofundishwa katika dini zetu tofauti hivi ni haki m2 unamwacha mwenzako anaugua mpaka anakata roho et...
Wana JF mtokeo ya masters udsm yametoka na yanapatikana kwenye website yao, please mwenye matokeo MA economics ayaweke hapa maana mimi kila nikijaribu kudownload nashindwa. Natanguliza shukrani
Jamani naomba kuwauliza, me nimeomba kozi kupitia Tcu but ktk uwombaji nilijaziwa na kaka yangu, my fist kozi kiukweli sijapendezewa nayo. Je ikitokea nimechaguliwa kozi hiyo nina uwezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.