Niliomba land management n valuation then ikawa eligible, to my suprise ni kwamba sasa hv haiko qualified.. Does that mean wa2 wamenishnda bahati au kiwango?
Life is full of problems.
The more you solve them, the more new ones come up. And you can sweep problems under the carpet or run away from them. Wherever you go, sooner or later there will be...
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dr Shukuru Kawambwa atakuwa Clouds FM kuanzia saa mbili kuzungumzia mgomo wa Waalimu unaoendelea nchini.
Nakuomba umfuatilie na kutujulisha kinachoendelea...
Kila mgomo unaotangazwa kwa maslahi ya watumishi au kundi fulani ktk jamii siku zote serikali hii hutoa tamko kuwa si halali kisheria japo lengo la mgomo ni halali. Nashindwa kuelewa uhalali wa...
Sipho "Hotstix" Mabuse finishes South African school
Sipho "Hotstix" Mabuse went back to school after more than four decades
South Africa's President Jacob Zuma has praised top musician Sipho...
Natoa ushauri kwa maafisa wanaozunguka na fomu kuwa waache mara moja, nadhani wamefanya taathimini na kuona hali halisi nawashauri kwa kesho wasifanye hivyo tena vinginevyo wasije kutuona wabaya...
Lakini, Sasa; umefika wakati wa waalimu kudai haki kwa Nguvu ya Pamoja. Bado nina mashaka kwa uwezo wa CWT kufanikisha mgomo huu.
Je! Ni nani aliye tayari kuwaunga mkono waalimu?
Na aseme sasa!
Inasikitisha,na kushangaza,kusikia eti baadhi,ya maeneo,walimu wa primary hawakusaini fomu za kuunga mgomo,wakati wao ndo wana hali mbaya ya mishahala midogo! Uu tuuite ujinga au..?
Huyu mwanafalsafa na mwanaharakati alisema,few shall sacrifes themselves,for the betterment of the whole!kwahiyo hiyo 4.7% ambayo ipo nyuma isituogopeshe.Tuendelee kusonga mbele,mpaka kieleweke.
Wapendwa wapenda maendeleo wenzangu, nimepata offer ya admission, Institute of Education, University of London lakin sijapata Scholarship nami siwezi kujinusuru. Naomba wazalendo nisaidieni links...
Heshima yenu wakuu,naomba kujuzwa kwa anayejua kama OUT wametoa majina wanaojiunga na masomo ya 2012/2013,kama hawajatoa je wanategemea kutoa lini? nimejiunga na kozi ya degree.Thanks
Jamani,kwa wale wenzangu na mimi tulio apply vyuo kupitia tcu,sijui kama tatizo ni langu peke yangu au tuko wengi.ni hivi,hadi kufikia jana kozi zangu zote 6 nilizokua nimeaply zilikua zimeandikwa...
Jamani nina hisi wanafunzi wengi watafeli sana mwakani. Kwa kuanzia kudodosoa nianze na hawa wa kidato cha pili wengi hawana sifa za kuwepo katika kidato hicho kwasababu zifuatazo, wengi hawana...
Naomba kujua ikiwa kama walimu wametii amri ya chama chao, ya kwamba kimeshindwa kufikia suluhu hivyo wagome au wametii kauli ya serikali inayoema "suala lipo mahakamani" hivyo waendelee na kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.