Kumekuwa na tuhuma mbalimbali zinazotolewa katika magazeti juu ya ufisadi unafanyika katika Vyuo vya elimu ya juu. kwa mfano kuna tuhuma za ufisadi katika Chuo Kikuu cha Tanzania na Chuo cha...
Chuo kina maprofesa takriban 200..ndo chuo kinachoongoza kwa kua na maprf wengi tanzania na afrika mashariki...ni chuo cha kwanza tz kutoa prof mwanamke(jina kapun msigundue mapema) ...ni...
Huyu senator ndo alikuwa na true information about TCU kaka kama uko around tujuze Hizi selection za TCU zimefikia wapi? Coz hawa jamaa wengine wanakuja na taarifa zisizo na ukweli ndani Yake..so...
Member of Parliament CV
GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
First Name:
Sylvester
Middle Name:
Mhoja
Last Name:
Kasulumbayi
Member Type:
Constituency Member
Constituent...
Umoja wa Maendeleo
Nahitaji anzisha Chama cha kijamii katika Kata yangu ambacho hakitakuwa na itikadi yoyote ya kisiasa, jinsia wala rangi ni kwa ajili ya kuhamasisha maendeleo katika kata...
habari wakuu, nimesikia kuna chuo kipya cha ualimu huko mafinga karbu na kambi ya jeshi JKT, naomba kuuliza wanatoa dip au certificate? je wanafundisha masomo gani? wataanza lini? naomba msaada...
cost of capitalThe opportunity cost of an investment; that is, the rate of return that a company would otherwise be able to earn at the same risk level as the investment that has been selected...
Inauma sana pale watoto wa masikini wanaponyimwa mikopo kwa majibu ya bajeti haitoshi eti sababu sungura mdogo,hii haikubaliki ukizingatia bajeti ya elimu bado haijapitishwa hivyo sioni sababu ya...
Rais wa Chuo Kikuu cha St.Augustine Mwanza Bw.Malisa Godlisten EJ, amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa shirikisho la vyuo vikuu vinavyomilikiwana baraza kuu la maaskofu Tanzania (TEC), na...
Wadau nime login leo tcu,nakukuta zilizokuwa elible zimetoweka na kuwa eligible zingine
(yani kinyume chake vp wengine?) maana kuna wengine wameshata chuo yeyari mf.kairuki.Nisaidieni nijue.
Habari zenyu wana JF?
Kwa wale 1st aplplicants ni wazi kwamba selection ni kama imetoka kwani tayari 2nd application ipo on.kilicho baki ni watu kujua wamepangwa wapi.kwa wale ambao...
Oya masela, chekini chekini emails zenu, tcu mambo teyari bwana wamesha anza tuma selection za vyuo! Namshukuru mungu nime-receive mail ya selection yangu. Ila Siyo kwa vyuo vyote, so kwa yeyote...
Jamani hili ni tatizo wale wa SAUT MWANZA waliopo field hawajapewa hela zao mpaka leo na next week field inaisha, sasa wanadhani watu wanaishije huko mikoani. Tanzania haitaendelea kamwe kwa...
Hello, in Tanzania to find duo professionals in three years is very rare case, but believe me there graduates who have been awarded bachelor of science in taxation at The Institute of Finance...
Denti wa elimu ya juu akitumia juhudi na maarifa ili asiliwe kichwa kwenye paper la uchumi.
Paja limepigwa na rubber band nondo isiteleze wala isicheze cheze eneo husika.
Hana noma wala nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.