Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kwa sisi tulioomba daraja la 3a!
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Siku moja Harun alikuwa katika Qasri yake akiangalia mandhari iliyokuwa ikimzunguka na sauti ya mbubujiko wa maji ya mto Tegris. Na mara hapo akatokezea Bahlul, na Harun alimwambia Bahlul: "Ewe...
0 Reactions
2 Replies
914 Views
Wana jf naombeni ushauri khsu huyu mdogo wangu. Amemaliza degree ya ualimu pale mlimani mwaka jana na akapata nafasi kufundisha private. Huko take home yake ni laki 6 na elfu 30 (630,000/=)...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Baada ya serikali kushindwa kufikia muafaka na Chama cha walimu,walimu kugoma nchi nzima mpaka serikali itekeleze mapendekezo ya chama cha walimu.Baadhi ya mapendekezo hayo ni nyongeza ya mshahara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wahadhiri wa kike wa Sheria-UDSM ni wachache sana. Wanabanwa na GPA(kwakuwa inatakiwa 3.8 na zaidi). Tangu mwaka 2007,hakuna Mhadhiri hata mmoja wa kike aliyeajiriwa.Hakuwa pia hata mwanafunzi...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Msaada wa chuo kinachofundisha accounting package Tally,mimi niko dar .
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu. Jamani naombeni ushauri natamani mambo mawili (2); yaanni kusoma na kufanya biashara sasa nashindwa kuamu lipi ni fanye lipi niache lakini nikaona ngoja nililete hapa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wanajukwaa Currently mimi ni mwanachuo naingia mwaka wa tatu nasomea bachelor ya business administration. Lakini from the bottom of my heart nimegundua napenda sana field ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nadhani hakuna asiyefahamu kuwa sasa waislam wanapigana kulipinga kwa kile walichofanyiwa ktk somo la islamic knowledge,hivyo kufikia uamuzi kutofanya mtihani mpaka livunjwe,mimi cdhani km hii ni...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Kindly allow me to share my experience/plight..and i invite you to give worthwhile advise. Yani ukimaliza chuo ndio unaona tofauti kati ya inservice na freshers.. Wao wamerudi maofisini bila...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa mliopo kwenye halmashauri ambazo salary zimetoka,tunaomba mtuhabarishe kama nyongeza imekaaje!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tafadhali soma hii taarifa iliyotolewa na Wizara ya Elimu Tanzania, tafakari na chukua hatua! NB: Kwa wenye kutumia simu taarifa yenyewe ni hii hapa! JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wale vijana wa Engineering mwaka wa nne, haya maswali yatawasaidia katika uchumi wa kiandisi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau ninaomba mnisaidie kupata topic ya kufanyia utafika kwa mwanafunzi anayefanya masters in Public Administration katika mazingira ya Tanzania,nina ndugu yangu anaumia kichwa sana na kwakua...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wana jamii, Jana (tarehe 24/07) tuliambiwa kwamba CWT walishindwana na serikali tarehe 20 July 2012. Hivyo leo tar 25 July baraza la usuluhishi wangeipa CWT certificate ya "agreement failure"...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kiingereza bwana we acha tu!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwenye Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2011, shule nyingi zilizofungiwa ni za Kiislamu. Mfano Shule zote zilizofungiwa Tanga ni za Kiislamu pekee. Mtihani wa Kidato cha Nne 2011, Shule...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Baada ya serikali ya JK kufanya maamuzi ya kuwafukaza interns 380 sasa inahaha kuwatafuta wengine na jitihada zake ni kulazimisha matokeo ya mtihani uliomalizika wiki moja iliopita ili interns...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
I hope the attached link will be useful to nursing students hapa nyumbani... http://archive.org/download/EssentialsOfPsychiatricMentalHealthNursing-Townsend/PsychBook.pdf
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wana jf, kuna chuo kinaendeshwa na wahindi cha St Joseph kwa kweli kinajiendesha kwa mbinu chafu. Wamekua wakitegemea njia za Panya kupata fedha ikiwemo kutoa sup kiholela ili wanafunzi...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Back
Top Bottom