Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jamani mmechukuliaje matokeo ya stashahada ya ualimu,inamaana vyuo ni vichache kiasi cha kuchaguliwa idadi hyo?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hey guys, nimesikia matokeo yatatoka tarehe 4 mwezi wa 8.. Hawa jamaa mbona wanatufanyia hivi? Sipendi ahadi za uongo, walisema yatatoka ktk wiki ya kwanza mwezi wa saba, mpaka leo hamna kitu!
0 Reactions
112 Replies
30K Views
watoto wa siku hizi wanapenda sana shule , maana naamini ningelikuwa mimi(pengine hata wewe) ndo walimu hawapo shule ningerudi nyumbani tu, wala nisingeandamana sijui kwenda wizarani, kwanza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau mimi napenda kuuliza kama pana mwanaJF yeyote anayeijua shule nzuri (English medium) ya chekechea na primary iliyopo maeneo ya Tegeta, wazo ama madale. Pia nijuwe kama shule hiyo ina magari...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
mi na baadhi ya wenzangu tupo masomoni nje ya nchi, kuna mwenzetu mmoja ana tatizo, ni kwamba jina lililopo kwenye passport yake ni tofauti na majina ya kwenye vyeti vya form 4 & 6. hapa chuoni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninaimani wanaJF tumetapakaa nchi nzima, naomba kila GT atujuze hali ya mgomo wa walimu ilivyo katika wilaya yake. Mimi niko Wilaya/Manispaa ya Ilala, jana nilizungimza na mratibu mmoja wa elimu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa anayejua juu ya selection za T.C.U Kwa mwaka wa masomo 2012/2013 Zitakuwa zimekamilika lini?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninaomba wizara ya elimu iwasikilize walimu.
0 Reactions
2 Replies
906 Views
Wana JF Naomba kwa anae fahamu anifahamishe kuhusiana na hii Facult ya Bachelor education with special needs, na ni wapi ambapo ajira zake zinakuwepo. Nawasilisha kwenu
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Jamani wadau ebu tusaidiane kwa hili hivi ni kweli kwamba c ya private candidates inaanzia 57 au ndio uzushi wa wabongo mana kuna mtu amepata four ya 27 na ana c mbili lakini hataki kutafuta c ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ualimu ni kazi sio kama kazi nyingine rahisi rahisi inahitaji kupewa heshima kubwa sana, Wadau wa Elimu wakubwa ni Waalimu wanavyodai haki zao ijulikane kuwa mazingira ya kazi na stahili zao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani nimelogin kwenye account yangu tcu nimekuta progrms 7 ziko check in progress except moja ndo iko eligible na kabla zote zilikuwa eligible,pls nataka kujua ndo tayari nimeshatemwa au?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Miongoni mwa waajiriwa wengi nchini ukifuatilia historia yake ya elimu atakwambia amesomea malisia,uingereza.Na ndio waliojaa maofisini lakini kwa wale wahitimu waliomaliza hapahapa nchini bado...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Watoto wanahitaji elimu na muda wa kutosha wa kukaa na wazazi wao sio kuwatumikisha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa mwenye taarifa kuhusu hizi selection za TCU naomba atujuze, maana walishwahi kusema kupitia gazeti la mwananchi kuwa selection ingefanyika trh 15/07/2012 ila mpaka leo naona kimya. Majibu kwa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa karibu mwezi mzima wanafunzi wanaosoma Chuo Kikuu cha ERKENFORDE Tanga walisimamishwa masomo na baada ya majadiliano yakihusisha wanafunzi,TCU na uongozi wa chuo wanafunzi wameamriwa kuandika...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
"Elimu ndio ufunguo wa maisha" hii ni kauli maarufu na kila mmoja wetu anafahamu umuhimu wa elimu katika maisha. Elimu kwa maana isiyo rasmi ni mchakato wa kuelimisha ama kuelimishwa jambo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kitendo cha kushangaza sana miaka miwili iliyopita COET katika mradi wake wa BICO - Bureau of Industrial Cooperation walianzisha kozi mbalimbali za kkiwango cha cheti, diploma hadi diploma ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani nina hisi wanafunzi wengi watafeli sana mwakani. Kwa kuanzia kudodosoa nianze na hawa wa kidato cha pili wengi hawana sifa za kuwepo katika kidato hicho kwasababu zifuatazo, wengi hawana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna mdogo wangu kaomba kujiunga chuo kupitia utaratibu wa TCU. Kutokana na uwezo wa familia tulimshauri aombe zile kozi ambazo angalau zina mkopo, ingawa kuna nyingine hakuwa anazipenda. Juzi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom