naona tcu mambo yameshakamilika kama hauamini jaribu kutembelea website ya cuhas kwa uhakika zaidi coz wamesha weka majina ya selected aplicants so kaeni mkao wa kula kuanzia next week
Wadau,
taarifa toka kwa mdau wa wizara ya elimu zinaeleza kuwa anytime kama walimu wataendelea kugoma, huenda serikali sikivu ikatangaza ajira za ualimu kwa watu wenye shahada zisizo za ualimu...
Kama rais alikua na hukumu ya kesi tangu jana ina maana yy yuko juu ya sheria coz yale yaliyoamuliwa leo jana alishasema mf kurudi kazini na kufidia muda uliopotezwa, notisi kucheleweshwa nk hivi...
ame
Lucy Mayenga
Surname
Mayenga
First Names
Lucy Thomas
Alternate Name
Title
Country of Birth
Tanzania
Positions
From
To
Organisation
Position
2005
Special Womens Seats...
Salam wana jf
habari nilizozipata kutoka ndani ya ofisi za jiji ni kwamba walimu wote walioshiriki mgomo wanaondolewa kwenye kazi kukusanya takwimu,chanzo kinasema agizo hilo limetolewa na mkuu...
Juzi nilipo log in my account nilikuta kozi moja not eligible leo nilipo log in ile ya kwanza imekuwa eligible but ya pili na ya tatu zimekuwa not eligible. Kwa anaefahamu huwa wanamaanisha nini...
Hivi jamani Tcu kuna nini na mtambo wao?Maana wadau wanakutana kesho kufanya selection lakini program zangu zinasema check in progress tokea majuzi,wenzangu kuna mabadiliko yoyote?
Acha kuzubaa,kama last week kuna moja ya kozi yako iligeuka na kuwa not eligible,basi acha kumbweambwea,ndio tayari hvo ushatupwa kwenye hicho chuo.
Source:mimi mwenyewe jana niliongea na IT...
Makerere University in Kampala is East Africa's oldest institution of higher learning. FILE | AFRICA REVIEW
By ABDU KIYAGA | Thursday, August 2, 2012
Ugandan universities have continued a steady...
warizi wa elimu how is it sounds to your ears when you hear the sounds of Innocent children claiming for education as their rights. too sad
how is it sounds to your ears when you hear the...
Wakubwa, hivi certificate ikichanika , mtu anaweza kufanya nini ili apate mpya? je, anaweza kupeleka ile iliyochanika akapata nyingine, na je chukulia mfano umeibiwa begi lenye vyeti vyote, au...
Habari,
Naomba ufafanuzi kwa wale waelewa zaidi. Je katika kupata kazi na "kuthaminika" kielimu kuna tofauti anayopewa mtu aliesoma on campus na yule aliyechukua online course provided chuo ni...
matokeo ya mgogoro wa walimu na serikali yamenishangaza sana.
unaweza ukanigumdua kwa kitu kidogo tu! ninatabia ya kusema ije itokee
waingeleza wachukue Tanganyika yao, tujue tunatawaliwa na...
serikali inajivunia kufaulisha kutokana na wanafunzi kufanya vizuri kwenye masomo hayo sababu wanafunzi wanabebwa na prac,sasa jamani kwa walimu wa masomo hayo fanyeni kama mmekosea changanyeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.