Wadau mimi ni mkazi wa Kijiji cha Mbigiri Kata ya Magole wilayani Kilosa..nimesoma shule ya Msingi Mbigiri ambayo Mbunge wa Mtera Bw Livingstone Lusinde naye alisoma huko..,Nimeongea na alitekuwa...
. . .Kwa wengi mtakuwa wenyeji wa jina hili Fr.Michael James Snyder. Huyu Bwana alikubwa na kashifa nyingi hasa za kuwalawiti waseminari pale makoko,Alitumia upadre wake kuwadanganya vijana kwa...
Hivi ninavyoandika kuna migomo mizito miwili hapa shuleni Ulayasi wilayani Ludewa. Walimu wanamkataa msarifu wa shule(bursar) kutokana na ubadhirifu uliopitiliza. Wanafunzi wanadai kutimiziwa...
Serikali imesitisha ujenzi wa shule za sekondari za kata, kutokana na kutoridhishwa na kiwango cha elimu kinachotolewa katika shule hizo.
Tamko hilo lilitolewa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya...
Ninatoa consultation kwa wale wanaoandika thesis/dissertation kuanzia Bachelor na Master degrees katika masomo ya arts. Consultation hizo zinafanyika kwa internet na simu, hivyo huduma hii...
Kadiri muda unavyokwenda CWT wanazidi kukatisha tamaa.Wamekua wana ongea tu lakini hata kuongea kwenyewe sikuizi hawaongei tena. TZ kwa sasa ipo mikononi mwa CWT. Hii ni kutokana na ukweli usio...
Nimesikiliza BBC matangazo ya jioni,reporter wao kutoka Dodoma akasema kuwa Bunge limehairishwa baada ya wabunge wa kutoka Zanzibar kutoka nje ya bunge, badala ya kusema wabunge wa kutoka...
Nimeuliza kwasababu nilifanya applications na mpaka sasa sijaona taarifa zozote kuhusu selectiona zao. Kama kuna mwenye taarifa za lini yanaweza toka,kwasababu muda wa kwenda chuo najua unaanzaga...
Ndugu wanajamii forum , naomba kuuliza kama chuo kimefungwa , kutokana na matatizo, ni taratibu gani zinafuata baada
ya hapo?
Chuo cha maendeleo ya jamii Mlale kilichopo Songea kilifungwa mnamo...
kuwa makini kama umefanya udahili maana kuna wa2 wanajifanya wao ni wafanyakazi wa Heslb hvyo wameiba contact za wa2 walioomba mkopo na kuanza kuwaambia ati hawaja2ma cheti cha kuzaliwa na ili...
1. The first computer mouse was invented by Doug Engelbart in around 1964 and was made of wood.
2. Bill Gates' house was designed using a Macintosh computer.
3. As a teenager, Obama took...
Term of the Day
equityOwnership interest in a corporation in the form of common stock or preferred stock. It also refers to total assets minus total liabilities, in which case it is also referred...
SHORT COURSE ANNOUNCEMENT ON DATA PROCESSING AND ANALYSIS
(To be conducted in MWANZA)
The Department of Statistics, School of Mathematical Sciences is announcing a short course on DATA...
The rules are fairly easy. A mother, a father, two girls, two boys, a policeman and a convict are to cross the river with a boat. The conditions are:
The convict cannot be alone with any member...
mi mwalimu nataka kumfuata mume wangu anakoishi nimetuma barua ya maombi pamoja na cheti cha ndoa ,kwanza head master ame coment kwamba imepitishwa afikiriwe kupatiwa mwalimu mbadala,nimemwona DEO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.