nauliza hivi mimi mpaka leo hii selection zangu hazija onyesha kwamba ni eligible or not eligible
na vigezo ninavyo je ni kwamba muda bado au kuna kitu nimekosea lakini nimekuwa nikilogi in...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara amemteua Dkt. Selemani Sewangi (55) kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA).
Kwa mujibu wa taarifa...
Faqihi mashuhuri kutoka Khurasan alifika Baghdad, alialikwa na khalifa Harun Rashid katika Baraza lake:
Wakati alipokuwa akizungumza na Harun, alitokezea Bahlul ambaye naye alikaribishwa...
Inanisikitisha, je tunaelekea wapi, maana karibu sehemu nyingi tu hasa pale maswali yanapokuwa sio ya kiacademic bali ya maisha ya kawaida na ya kisasa yamukuwa yakiwapiga chenga
BAHLUL NA CHAKULA CHA KHALIFA
Siku moja Harun al-Rashid alimpelekea Bahlul sinia iliyojaa kwa vyakula mbalimbali. Mfanyakazi alipomwakilishia Bahlul vyakula hivyo, alimwambia: "Hivi ni vyakula...
Jamani naomba mnisaidie mimi nimeomba chuo mwaka huu kwa kupitia tcu lakini mpaka sasa hivi nikiangalia my profile kwenye selection status inaonyesha not yet processed,inamaana muda bado au ndiyo...
Possession of reguired entry qualifications does not guarantee admission into a higher education institution of the aplicant's choice,since all aplicants will be selected on competitive ranking of...
Natumain ni wazima.
Nimekua nikitafakari hili la mwongozo mpya uliozinduliwa juzi na kawambwa. Mtu anaweza kuhama kutoka udsm kwenda cbe, cbe kwenda udom, ifm akaenda dit,
Hili limekaaje...
ukikuta umeandikiwa eligible,tcu wamesema nanukuu "system has verified that you have only meet minimum requirements to apply for that program"so msivimbe vichwa mkadhani ndo mambo tayari,bado kuna...
Kutokana na uwezo wa kifedha walionao vijana wetu wa Elimu ya Juu, nawashauri wakusanye nguvu zao pamoja na kuanzisha Benki yao. Ushauri ni kuwa kila Mwanafunzi wa Elimu ya Juu awekeze angalau...
naombeni elimu ktk hili: BSc(biology),MA(Social science). Inawezekana PhD kusomea tena biology bila kuwa na msingi wa bios ktk shahada ya pili? Tafadhali naombeni msaada ktka hili.
Jamani huyu mama, ndio amehamishiwa wilaya ya mkuranga kikazi kuwa afisa elimu. Yeah, amekuja na mikakati yake kwa ajili ya kuinua kiwango cha elimu wilaya ya mkuranga!
Lakini atambue kuna...
siku moja Bahrul alimtembelea Khalifa Harun Rashid, akaombwa kutoa nasaha;
Hapo Bahlul alianza:
"Ewe Harun! Iwapo wewe utakuwapo porini ukashikwa na kiu ya maji ambayo hayapatikani, huku...
tafdhalini wadau wa JF naaomba muongozo
wa taratibu za kufuata ili kuweza ku-renew
LESENI ya UDEREVA (Driving License)! yangu
inakwisha muda wake na pia ni ile ya zamani
so nataka nipate mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.