Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Mwalimu mnoko anayewakamata wanafunzi wanaodesa darasani au Mwanafunzi mnoko anayemsema mwalimu vibaya kisa ameshindwa kudesa darasani wakati wa mtihani!!. Nani mbaya kuliko mwenzie!!.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna graduate aliitwa Ashura Jumanne Ally,alisoma BED-Biology.Alipangika wilaya Rufiji,tulikua nae kituo kimoja kinaitwa Kazamoyo sec.Amefariki jana jioni katika hospital ya Mchukwi iliyopo...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Kama kuna mtu mwenye CV ya Kamanda KOVU tudondoshee hapa.
0 Reactions
46 Replies
8K Views
Mimi nimeitimu A-level 2009 kwa kombination ya PCM Minaki High school,ningependa kusoma doctor of medicime baadaye kidogo,sasa nauliza wana ef nifanyeje ili niwezekusoma biolojia pekee kwani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jaman,hawa tcu vpi?yani nashangaa muda wakufanya application na marekebisho mengine umeisha lakin cha kushangaza baadhi ya kozi watu wameongezeka.mfano bcom finance ya udsm hadi jana watu waliokua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimerekebisha thread yangu nauliza tena hivi aliyesomea masomo ya dini yake ama dhehebu lake (ktk Uislamu na Ukristo) anaweza kufikia level ya Phd kama ilivyo katika elimu ya kidunia? Naombe mod...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
dakika kadhaa zilizopita, hosteli mojawapo ya wasichana wa sekondari ya morogoro, imewaka moto.... mpaka natoka eneo la tukio, hakuna aliyeripotiwa kufariki, ila mali za wanafunzi zoooote...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wadau na swali kwa ambao mko uko vyuoni kama umechaguliwa course fulani na ukaamuakubadilisha inawezekana kweli...?assume qualification za kubadili hiyo course unavyo!..msaada jamani
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Aisee nilikuwa sijui binam yangu alifanya udahili wa kozi ya kwenda kusomea askari magereza alishapita hatua za mwanzo kabisa ni kuingia na kuanza kusoma ila katika kupimwa afya na mambo mengine...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Bweni la wasichana la shule ya Morogoro secondary linaumgua moto maeneo ya forest na chanzo inasemekana ni hitilafu ya umeme. Fire wamefika na wanazima na asilimia 80 ya jengo imeungua na...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
mm mwalimu s school nimetumabarua pamoja na cheti cha ndoa naomba kumfuata mume wangu kwa maa ya kuhamia aliko ilia nabaniwa na mabosi je nifanyeje naambiwa nitafute mwalimu mbadalanimpereke ndo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi nimeitimu A-level 2009 kwa kombination ya PCM Minaki High school,ningependa kusoma doctor of medicime baadaye kidogo,sasa nauliza wanajf nifanyeje ili niwezekusoma biolojia pekee kwani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi kuna nchi ambayo wanafunzi wana uwezo wa kucram kuliko Tanzania, Maana wanafunzi wanameza hata kama page zipo 100. utadhani sala ya baba yetu. Hii ni hasara sana kwa taifa sababu uwezo wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nashindwa kuelewa ni ya akina nani. wakuu wangu tafadhali mwenye taarifa anidokezee. http://www.hlsssf.org
0 Reactions
2 Replies
1K Views
salamu wakuu, naomba mnijuze kuhusu hii digrii ya udaktari wa binadamu, je ina classes? maana nyingine huwa nasikia kuwa kuna lower class, first class etc, sasa hii digrii ina haya mambo? kwa...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
eti wadau hivi endapo itatokea mmelingana pointi wa2 wengi katika faculty moja kita2mika kigezo gani ili kuwachagua au matokeo ya o level yataangaliwa mwenye wazo pevu ebu funguka basi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nataka kuhama kituo cha kazi kumfuata mume wangu nime ambatanishabarua na cheti cha ndoa cha ajabu DEO ana nambia nipereke mwalimu mbadala ndo nipate kuhama kituo cha kazi naomba ushauri wenu jamani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sasa hivi kuna uchangiaji katika elimu hasa elimu ya juu. Na kuna baadhi walinyimwa kabisa mikopo kutoka bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu pamoja na kwamba ni watoto wa maskini na wana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nisaidieni pliz natafuta shule nkafundishe pliz
0 Reactions
1 Replies
967 Views
Hapa kuna ukweli wana Jf?
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom