Ukitembelea tovuti ya Necta utakutana na tamko la Matokeo ya kidato cha 6 -2012.
Bila Waislamu kushtuka ina maana hawa watoto ndo ilikuwa imetoka. Natoa pongezi kwa
kikundi hicho cha Waislamu...
Kumekuwa na tabia ya kuwapa wanachuo suspensions zisizokuwa na kikomo,ndani ya barua zao utakuta wameandikiwa kuwa hawatakiwi kuonekana maeneo ya vyuon hvyo mpaka wapewe taarifa zaidi,(further...
Wadau naskia deadline imeshapita. Ila je hakuna njia yoyote ya kufanya ili nipate nafasi ya kusoma masters hapo muhimbili.
Ideas will be greatly appreciated.
Education continues to take the biggest chunk of the budget. Ms Kiwanuka allocated Shs1,669 billion to the sector (or 17 per cent of total budget). This is an increase from the Shs1,418b...
Heshima kwenu wakuu! Nauliza mwenye ufahamu na Program ya MA DEMOGRAPHY udsm, vipi admission capacity ikoje na pia mwenye kuwa na details zaidi anijuze, niliapply lakini ningependa kwa wenye...
Wana jf katika kutafakari timbwili timbwili za elimu ya awali nashauri, UDSM irudishe utaratibu wa zamani kwa wanafunzi wote wanao chaguliwa kuanza shahada ya kwanza kufanya mtihani maalum kwa...
poleni na majukum wana JF wenzangu mimi nimemaliza kidato cha nne nikapata division four ya 30 nimekaa nyumbani mpaka nimechoka maisha magum imebidi nitafute chuo nisome chuo cha nurse biology...
Wadau,
Nimepewa zawadi ya lap top na mzungu!! Mwenyewe anasema ni high profile lap top. Hivi lap top inawezaja kunipa ulaji au mihela hapa mjini...can i make a living out of it? Naombeni ushauri...
Wakuu,
Taasisi ya READ & WIN IVESTMENTS ya Kerege, Bagamoyo, inakamilisha masuala ya msingi kabla ya uzinduzi wa mpango uliotajwa hapo juu. Kupitia mpango Huu wa SHIKA KITABU ndoto kuu ni kuona...
:glasses-nerdy:
Kama waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wanalipwa Sitting allowance ambayo ni tofauti na Mshahara, kwa nini Waalimu nao wasilipwe Standing allowance...
Makaratasi huwa ni mengi ya kusahihisha somo la uraia/civics kwenye mitihani ya kitaifa ya sekondari, General study (GS) kwa sekondary ya juu (High School) na development studies kwa ngazi ya...
Habari zenu wana jf.poleni na majukumu .mimi ni mkazi wa dar es salaam natafuta chuo kinachotoa mafunzo ya utengenezaji nyele na urembo kwa ujumla.nimeshaenda veta wameniambia wanachukua intake...
Does any one knows the online merchant account host company in Tanzania?. Please share with me here. as Pay Pal can not allow Tanzanians to receive payment, what the other company?
BARAZA la Chama cha Walimu Nchini (CWT), limetoa siku 30 kabla ya kutangaza mgogoro na serikali kwa madai kuwa imeshindwa kuteua baraza la majadiliano la sekta ya elimu ambalo lingeweza kujadili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.