Africa Scholarships Program: Alma Graduate School (the business school of the University of Bologna) and the Foundation for World Wide Cooperation are pleased to announce the "Africa Scholarship...
Binafsi namkumbuka mwl wangu wa Literature miaka hiyo pale Shinyanga sec aliitwa mwl Mipawa almaarufu kama Okonkwo. Alikuwa akija na mtoto wake darasani na huku yeye anakula kiazi na kufundisha...
Hivi kwa nini mitihani ya UE isiwe inasahishwa na bodi maalumu kama ilivyo NECTA kwa shule za secodary natamani iwe hivi ili kupunguza unfair zinazotendwa na wahadhili wetu hapa Tz.Unakuta mdhari...
Nashauri mitihani ya masomo ya dini isahihishwe huko huko misikitini na makanisani na wawekeane maksi watakazo kama ni 100% sawa kama ni 0% poa pia matokeo wapeane hukohuko ktk nyumba za...
Nimesema hivyo kwa sababu, mimi binafsi nimesoma shule ya serikali nikiwa O'level then nikasoma shule ya private ktk A-level. Nikiwa O'level, kuna walimu ni wazi walikuwa wachovu ktk masomo...
Ajabu Marekani ukienda kwenye Interview hawaulizi vyeti kabisa wala copy za vyeti haziko kokote kazini.
Nilipokwenda kwenye interview yangu ya kwanza nilikwenda na vyeti vyangu vya Tanzania...
Watu wanalilalamikia baraza la mitihani la taifa (necta).nami nakubaliana nao na naona ipo haja ya kulimulika baraza hilo. Kumekuwa na malalamiko kwamba usahihishaji wa mitihani si wa kuridhisha...
Kunandugu yangu alikuwa ananishauri nisome hiyo kozi lakini sina ufahamu wa kutosha kwamba inahusika na nini zaidi na market yake ikoje. Tafadhali kwa mwenye uelewa anijulishe
Shule ya jumuiya ya
wazazi wa ccm
Mabogo Wilayani
Mvomero yafungiwa
kwa kukosa usajili
na vigezo vya ubora.
Chanzo:ITV
Mkutano wao wa kesho ungejadili pamoja na hili bila kusahau ubora...
Ni kawaida ktk shule zetu mwalimu hata wa somo la english aingiapo darasan kuamkiwa "shikamoo mwalimu" naye huitikia "marahaba kaeni chini" na somo la dakika 80/40 litaendeshwa kwa kiswahili na...
Talented and enterprising young graduates with strong leadership potential seeking to undertake Masters I PhD degrees studies in the following PAU Institutes:
Pan African University Institute for...
Good Day wana JF, aise kuna kasheshe kubwa UDOM jamani niko huko undercover --- huyo Principal wa UDOM ni MFISADI kweli kweli. Kuna scandals nyingi sana huko na inafanya wafanyakazi wengi...
Siku za hivi karibuni Mufti alimtaka Ndalichako ajiuzuru kutokana na kuwafelisha waislam, Leo Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na waislam juu ya matokeo mabaya wanayodhani...
kufuatia shutuma wa baadhi ya madhehebu/dini kwamba watoto wao/dada/kaka/ndugu zao kwamba wamefelishwa au hakutendewa haki na necta, basi ni vizuri hii mitahi au somo lote kwa jumla likaondolewa...
Ni takribani wiki moja sasa tangu zoezi la ufuatiliaji wa kugawa vyeti kwa wahitimu wa mwaka jana Katika chuo kikuu cha Dodoma kufika bila ya mafanikio yeyote!!.Sababu kuu ni ETI WANADAIWA ADA NA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.