Wadau,nimekua napekua pekua magazeti mbalimbali ili kufuatlia budget ya mwaka ujao,lakin naona sector ya elimu haijapewa kipaumbele tena kama miaka iliyotangulia!!sasa najiuliza,ndo kwamba...
Wadau kuna chuo South Africa kinatoa full scholarship kwa wanafunzi wanaotaka kusoma masters by research na doctorial degree .
REQUIREMENTS:
1.)proposal ya resarch yako.
2.)Certified copies...
nimekuwa nikiangalia mada mbali mbali kuhusu usomaji wa vitabu.naamini kama msomi wa chuo kikuu mwaka wa tatu hawezi andika kisomi hili ni jibu tosha ni wakati wa kuwaelekeza au kufundisha na...
Baada ya kuhangaika sana hukuhuku na kule kupindisha mambo kwa muda mrefu jana jioni mgombea wa urais mwenye itikadi kali sana za cdm ameibuka kidedea.
Habari ambazo nimezipata kutoka katika Chanzo nachokiamini ambacho kina uhusiano na Baraza la Mitihani (NECTA) ni kua ulikuwepo mkakati wa kuwafelisha wanafunzi wa Form six waliofanya somo la...
Wandugu kwa anayefahamu shule nzuri za wasichana, ada na mawasiliano kwa mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Singida, Singida, Morogoro, Iringa Njombe, na Mbeya
Hatimaye Serikali ya Wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam aka UDSM imepata safu mpya ya uongozi.Rais mpya wa DARUSO ni Ndugu Itembe Bhukombe ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa pili...
Hi, jf memberz plz na0mba kwa yey0te anayejua jamb0 l0l0te linal0husu shule ya 0ld M0shi a.k.a m0shi sec, je ip0 wilaya gani, je ktk hy0 wilaya ni mjini 0r vijijini na mengney0 mabaya kwa mazuri.!
Kwa brothers and sisters mliosoma hiyo course hapo juu nlikuwa naomba kuuliza kitu kuhusu hiyo course sababu nimeona kwa UDSM na Ardhi ni miaka 4 lakini kwa St Agustine ni miaka 3,sasa nlitaka...
Habari wapendwa,
Naomba wazazi mnisaidie kuniambia kati ya Dar-es-saalam Independent School (DIS) na Academic International School, ipi ni shule nzuri kitaaluma na mambo mengine muhimu kuzingatia...
Wakuu nimeiona hii kwa michuzi kwa wenyeji wa chuo hiki, vipi chuo kimeshawahi kufanya hivi vitu? Nimetuma email kuulizia maelekezo zaidi haijajibiwa bado. Naombeni ushauri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.