kwa wale mliosoma Old Moshi -PCM mnamkumbuka babu seleki aliekua mwalimu wa Adv Maths, yule mzee alikua kichwa sana, alikua anakuja bila any reference paper mwanzo form 5 mpaka form 6 anafundisha...
Baraza kuu la Waislamu nchini (Bakwata) limeendelea kumng'ang'ania katibu mkuu mtendaji wa baraza la mitihani Dr.Joyce Ndalichako,likimtaka kujiuzulu ili kulinda heshima ya serikali.
Baraza...
Ni vizuri NECTA ikatoa ufafanuzi kuondoa mkanganyiko na tuhuma za waislam kwamba somo la islamic k,ledge matokeo yake kwa F6 kwamba yamechakachuliwa ili kuondoa dhana ya gonjwa hili baya la udini...
Mvutano baina ya serikali na walimu nchini unaelekea kuibuka upya kutokana na serikali kutoa ahadi za uda mrefu zisizotekelezeka za kuwalipa walimu malimbikizo ya madai yao.
Walimu wamekuwa...
Hivi huu mtindo wa organisations(both private and government kuacept job applications kwa watu wa UPER SECOND na kuendelea unasaidia nin? Nauliza hivyo kwa kuwa kuna wanachuo ambao wanatumia...
Wana JF naomba msaada,ninapomaliza hatua ya kusubmit taarifa za shule na taarifa za awali za kwangu page inayofuata inaleta haya maelezo.
The web can nto display the page
causes
The web is...
Wakuu,
Habari za jioni.
Naomba niwaalike rasmi kushiriki katika Matembezi ya Hisabati ya Kila Jumatano kuanzia Posta Mpya (Dar) Mpaka Mwenge. Matembezi yanaanza saa 10 kamili jioni kila...
Wanafunzi waliomaliza mwaka wa tatu ktk mwaka wa masomo 2010/11 ktk chuo kikuu cha dodoma na waliokuwa wanalipiwa ada na bodi ya mkopo hatimaye wamenyimwa vyeti vyao kwa maelezo kuwa wanadaiwa ada...
Kati ya vitu ambavyo mtu unajifunza baada ya kujaribu ni hili la gharama la kuchapisha vitabu Tanzania. Kwa muda mrefu nimekuwa nikitatizika sana na changamoto ya watoto wetu kujisomea na...
Nimemaliza kidato cha 6 mwaka huu nikichukua mchepuo wa pgm na kupata div iii-13 yaani physics-e, mathematics-d, geography-d na gs-s, pia o-level chemistry sikuifanyia mtihani kutokana na sababu...
Niliwahi kufanya utafiti, nakugundua kuwa wakuu wa vyuo na sekondari wengi ni magamba, na huwa wanatumika sana wakati wa chaguzi,..
Nadhani kuna huja wa wakuu wa vyuo vya serikali wasiwe...
wanandugu, natafuta shule ya kuhamishia watoto mmoja grade 2 na wa pili ni K3 (kindergatten 3rd year).
shule iwe ni ya english medium, wana option ya school bus, na wanafundisha maadili mema...
Sisi ni wanafunzi wa mwaka wa kwanza tunaosoma nchini Algeria kutoka Tanzania,tumeamua kutuma taarifaa hizi katika vyombo vya habari kuhusu bodi ya mikopo yaani kuhusu utumaji wa pesa kwetu sisi...
wanajf juz kuna mtu alianzisha thread kuhusu baraza la mitihani kuwafanyia uhuni wanafunzi waliomaliza kidato cha sita mwaka huu ambao walifanya somo la maarifa ya kiislam lakini kwasababu ya...
To graduate sio kuvaa Kuvaa joo,T- Shirt na Maandishi Makubwaaa eti UDBS Class of 2005.. Mara Mzumbe University BAF 2010..Mara IFM Bachelor of Information Technology.... Mara MUHAS Doctor of...
Amplify plc is considering a project which would require an outlay of 2.4m Tshs, at the outset. The money cash flows receivable from sales will depend on the specific inflation rate for Amplifys...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.