wadau nina rafiki yangu ambaye amelazimika kwenda open university lakini yeye anaona shule itakuwa ngumu kwani hamna lectures kaja kwangu kuomba ushauri mi nikamwambia ngoja nikaulize JF naombeni...
Zoezi la utoaji vyeti lililokuwa lianze leo tar 1/6 limeshindikana kwa sababu zisizoeleweka..
Kwa walioenda leo kuchukua wameona usumbufu uliokuwa unaletwa na utawala kutokana na kutokuwa na...
SHORT COURSE ANNOUNCEMENT ON DATA PROCESSING AND ANALYSIS
University of Dodoma
College of Natural and Mathematical Sciences
School of Mathematical Sciences
Department of Statistics...
Wadau katika jukwaa laelimu,inasikitisha kuona shule ya sekondari haina bodi ya shule.Nafikiri tunafahamu kazi ya bodi katika shule,hebu tujiulize maswala ya taaluma na uchumi nani anajadili,jibu...
Jamani mimi nimemaliza 4m 6 na nina 1 ya 9 kwa HGL na katika kusoma guidbook nimeikuta iyo coz ya ed in ICTna kwenye qualification za kusoma hii coz wanasema 2 principle pass in any teaching...
Pamoja sana wanabodi! Napenda kutumia nafasi hii kuwapongeza wanachama wote wa Chadema tawi la Chuo kikuu cha Mwenge[MWUCE]leo limepata uongozi mpya katika uchaguzi ulio simamiwa na Katibu wa...
Wanacholalamikia ni hiki kifuatacho:-
1. Baraza linafelisha makusudi Waislam na shule zao.
2. Vitengo muhimu wapo Wakristo wakereketwa.
3. Wakuu wa shule Waislam wapinga...
Nimejaribu kulog in mtandao wa bodi ya mikopo toka alhamisi naambiwa nimekosea password wakati kiuhaki najua sijakosea. Wenzangu mnafanyaje kulog in?
Hawa jamaa wa HELSB nadhani hawakufaya...
Sio kila siku tunawalalamikia walimu tuuu, Mara Ohoo kiwango cha elimu kinashuka mara ohhhh watoto hawaelewi kitu!!!!!!Kama unaakili timamu hauwezi kumlalamikia mwalimu kwa hayo yote wakati hauju...
........HIVI? ni procedures zip nifuate n napo taka kwenda kusoma MASTERS?..................NA JE? vp kuhusu mzamin maana nilisikia kwmba unaweza pata mzamin kupitia BENK unayoitumia je ni...
Jamani naombeni mnisaidie mimi nimesoma CBG na nimepata division 1 sasa kuna kozi mbili ambazo naona kuna dalili kubwa za kuchaguliwa ila leo naomba mnisaidie kama nursing iko fresh tukizingatia...
Samahanini watanzania wenzangu,naomba kuwaulza,hivi soko la hiyo faculty hapo juu inayotolewa na ardhi university likoje i.e in terms of kuajiriwa na kujiajiri?
Wakuu napenda kutoa taarifa kwa waliosoma shule ya msingi Uyui iliyopo Manispaa ya Tabora karibu na kijiji cha Kalumwa au Kakulungu ama kakola kwamba mwalimu wa siku nyingi sana amefariki dunia...
Jumatatu tarehe 4/6/2012 wanafunzi wa kidato cha nne kanda ya kaskazini mashariki (TANGA NA KILIMANJARO) mwaka 2012 wataanza mitihani ya Utamilifu (MOCK).Mitihani huandaliwa na NEZES.Kila shule...
kumetokea hali ya ukosefu wa amani katika maeneo yote yanayozunguka vyuo vikuu vya mkoa wa Dodoma. Matokeo hayo yanahususha matukio ya ujambazi, ubakaji, uvamizi, uporaji na mengi yanayofanana na...
Alijitahidi kuwapata walimu wapya aliowapangia sehemu za karibu karibu, operatio ilikuwa ukipata karibu unatoa tunda, evoduius huyo, na wakubwa wanajua wanamuangalia anakula wake zetu. maanina
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.