Katika habari ya muktasari ya EA TV, leo tar 11. 5 . 2012 jioni juma tatu, walidai cwt waipa serikali siku 30, ipandishe salary kwa %100. Tell me something more or less.
habr wakuu!!
Kuna mdogo wng amepigiwa simu asubuh ya leo. Walimuuliza huyu dogo kwamba naongea na frenk? Dogo akamwambia ndo mm. Akaendelea na maongez bwana huyo kwamba 2meona fomu yako ya maombi...
Shule ya msingi Kisambi ipo bagamoyo inawalimu 2 tu shule haina nyumba ya mwl, mwl mkuu anatembea males 16 kufika shule, darasa moja wanasoma wanafunzi wa madarasa matatu kwa pamoja yani la 1, la...
Haya haya wadau,nimeamua kuleta mada hii baada ya kujitokeza kaubishani kidogo somewhere juu ya nani zaidi katika sekta ya ICT kati ya IT geek,injinia wa computer,mwanasayansi wa computer au...
Nachukua fursa hii kuwahabarisha wana wa adamu hususani wakristo kuwa yaliyobainika NECTA kupitia matokeo ya somo la IslamicKnowledge kwa kidato cha sita ni dalili tosha kuwa yaliyodaiwa na...
Hello wanajf mi nimemaliza form 6 nilipata div 3 ya point14 PCB comb.(phys-S,chem-C,bio-E) Hivi nitaweza kusoma veterinary medicine SUA maana nasikia ushindani ni mkubwa na admn capacity yao ni...
Imeripotiwa kwamba mfumo duni wa Elimu hauwapatii wahitimu wa sekondai wakiwemo Form Six sifa za msingi za kuajiriwa. Inasemekana pindi wamalizapo skuli hawaajiriki kwa sababu zifuatazo;
Wengi...
Jf okoeni mwenzenu nahitaji link ambayo naweza pata assessment of procurement methods in Tanzania. nime googlize lkn naona ripoti nyingi hazina nyanga za kutosha nitupie basi hata kama ni ya ofsin...
WANAMBINGA WOTE WENYE MAPENZI MEMA NA MBINGA WAISHIO JIJINI DAR ES SALAAM MNATANGAZIWA KUWA JUMAMOSI HII (JUNE 9, 2012) KUNA KIKAO CHA KUJADILI MSTAKABALI WA MAENDELEO YA MBINGA...
HI! WANA JF.
Kuna jambo ningependa kufahamu juu ya ukosefu wa majina kwa baadhi ya wanafunzi wa stashahada ktk taasisi ya serikali(TCU).Mfano mdogo ni ukosefu wa majina yote ya wanaCBE-MWANZA...
tofauti kati ya BBA-MKTNG,BCOM MKTNG na MKTNG ni ipi?
Pia ukiacha kua marketin oficer/manager unaeza kufanya kaz gan nyingne?
Kwa mfano ukisoma BBA-MKTNG sasa unakua busines administrator or...
ivi BBA-MKTNG,BCOM-MKTNG na MKTNG zna tofaut gan?
apart kua marketing manager/oficer unaweza ukafanya kaz gani nyingine?
pia kwamfano umesoma BBA-MKT ina maana u r a busines administrator or you...
Wana jf mara nyingi nimesikia malalamiko kuhusu necta ktk usahishaji mitihani kiwango cha sekondari ngazi zote(o-level hadi advance),watahiniwa binafsi wanasahishiwa kwa kiwango cha kufaulu...
Habari za Mchana wanaJf.
Wadau kulikuwa na thread humu jukwani iliyohusu kuwanunulia watoto vitabu kuwa vinaenmcourage kusoma.
Mimi nilifuata ule ushauri ni kamnunulia mtoto wangu vitabu 2 na...
Habari wasomaji wote.
Ningependa kuwashirikisha wanabodi wote hapa ya kuwa katika serikali hii ya JMT kuna mamlaka inayojishughulisha na masuala ya hali ya hewa nchini. Kuna watu wengi pengine...
Wana jf naomba mnijulishe mipaka Ya Tanzania kwa Majina na Eneo husika.
Mfano
Tanzania mkoa wa Mbeya umepakana Malawi(Kasumulo) na zambia(Tunduma),
Mwenye kuijua azidi atujuze...
Wakati naanza shule ya msingi,niliaminishwa na kuamini kuwa wanafunzi wanaosoma Shule za Serikali ndio wenye 'akili' kuliko wale wa shule za binafsi.Nikaendelea kuamini hivyo hata nilipoanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.