Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Physics C Chemistry C Biology D BAM D USHAURI tu Mana naona kozi za afya ni ngumu kutoboa
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za leo wanajukwaa Naomba kufahamu tofauti ya hizo kozi kwenye nyanja zifuatazo 1. Mwenye BBA in Accounting je anapata unafuu sawa na mwenye BAC kwenye CPA 2. Sector zipi ambazo mwenye BBA...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Nimepotelewa cheti cha kuzaliwa na cheti cha form four,jina ni GRAYSON MAIGATHA MUTELANI kwa yeyote atakaye viona naomba tuwasiliane niweze kuvipata.
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Lengo ni kutaka kutengeneza mawasiliano bora baina ya viziwi na wanaosikia, pia kuboresha katika ufundishaji.
0 Reactions
0 Replies
290 Views
1.Jamani kwanza naomba kuuliza nani anakifahamu chuo RUAHA UNIVERSITY??? kwa anayekifahamu plz maelezo kidogo kuhusu hicho chuo 2.naomba kwa anayejua anisaidie hivi anayesoma private chuo kikuu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wasalaam wakuu! Naomba kufahamu hilo, je Feza school ni international school kama ilivyo IST, Iringa International na n.k. Au ni shule tu ya kawaida inayofuata mitaala ya Tanzania?
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habar wana IF natumai wazima waafya nami Napendaa chukua nafasii hii kuomba ufafanuzi Juu ya kozi tajwa apoo juu znahusu nini na je! Zina base katika sector zipi na uwanda wake wa kujiajili na...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Mimi ni mtumishi wa Umma mwenye shahada yangu, nimeamua kujiunga na chuo kikuu huria kusomea shahada nyingine ya sheria. Nimechaguliwa kwenye mkupuo huu wa Julai. Naomba kama kuna mtu mwenye...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Vyuo vinavyofundisha program ya CPA MWANZA ni vipi?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Na Shafii Hamisi Athumani Safari ya elimu imekuwa ikianza kwa matumaini makubwa ya mwanafunzi kuanza shule kwa furaha na kuhitaji kufikia malengo makubwa hapo baadae akiungwa mkono na kila...
2 Reactions
3 Replies
808 Views
Naam wakuu kichwa kinajieleza hapo. Je hivyo vyeti vinavotolewa hapo vinatambulika na TCU kweli au ni kupoteza muda na fedha?
0 Reactions
5 Replies
988 Views
Wakuu mimi nilisoma BSc. Geology, kisha MBA sasa nataka nianze PhD katika kuweka CV vizuri, naomba msaada niaweza kupata wapi PhD in Geology?
2 Reactions
17 Replies
2K Views
habari za wakati huu wana JF kama title inavyo jielezea napenda kujua na kueleweshwa kuhusu koz Tajwa app juu znahusu nini na zina base katika maswala gani katika upande wa ajira na kujiajili...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Inakuwaje wadau ebana nina mdogo Wang anapenda sana maswala ya lift zinazofugwaga katika majengo marefu Kwa sasa ningependa kufahamu Ni Chuo gani hapa bongo wanachotoa mafunzo ya lift control Na...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Mdogo wangu amechaguliwa chuo Cha TIA kwenye course business in admistration je kwa wale wanafahamu hiki chuo je ni sahihi kwa mdogo kusomea na vip kwenye wa Ajira kinazingatiwa kwa upande wa hii...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba ufafanuzi kati ya degree hizi Bachelor of official statistics Bachelor of Data science Ipi iko powa katika upande wa ajira au kujiajiri?
0 Reactions
1 Replies
539 Views
Naomben msaada nina binti yangu kamaliza form six, ndoto yake kubwa nikusomea air hostess (uhudumu wa ndege) nilikua nauliza Ili awe vizuri nimpeleke chuo gani? achukue hata diploma au degree...
3 Reactions
34 Replies
6K Views
Kila nikifungua website ya Nacte leo asubuhi haifunguki,au tatizo ni simu yangu tu, zingine hamna shida, wenzangu vipi na nyie mnaipata?
0 Reactions
4 Replies
568 Views
Hello Msaada niko EGM nimepata div II pont 12 lakini nina E ya A/math, C ya geo na D ya economic Kwa O-level nina sina F kwa somo lolote nilikuwa sayansi Eti pale Ardhi University naweza kusoma...
2 Reactions
17 Replies
959 Views
Kwa Sasa nchi yetu imekuwa na wasomi wa kutosha na kwamba Kila sekta Sasa inajitosheleza na ndio maana Kuna akiba kubwa ya wasomi wengi mtaani na kwingineko. Kuna haja Sasa serikali kuangalia...
2 Reactions
6 Replies
611 Views
Back
Top Bottom