Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Mifumo yetu ya ajira bado ina changamoto kubwa sana. Mchakato wa kuomba ajira za uandikishaji wa sensa 2022 umedhihirisha hivyo. Kwanza lazima Serikali ipongezwe kwa kuajiri vijana wengi ambao...
1 Reactions
1 Replies
530 Views
Kenya wameisha anza mfumo wao mpya wa elimu wa CBC yaani Competency Based Curriculum, huu mfumo unachukua nafasi ya mfumo ulio kuwepo ambao ni sawa tu na wetu kwa sasa, mfumo wa Mwalimu kuingia na...
33 Reactions
147 Replies
13K Views
Nina binti yangu kamaliza Form Six kachaguliwa kwenda jeshi. Nilikua nauliza je asipoenda inakuaje? Kuna hatua gani wanachukuliwa? Maana yeye alipokua Form Two alifanyiwa operation KCMC ya...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Hivi kuna tofauti gani kati ya corse izi mbili yani bachelor of laws Na BA of arts in law enforcement
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau salama? Kuna course tatu hapa naombeni kidogo tuzichambue kwa faida ya wadogo zetu wanaotarajia kuingia chuo mwaka huu. Faculty zenyewe ni kama zifuatazo. Bachelor of science in Economics &...
1 Reactions
5 Replies
906 Views
Amani iwe nanyi, Kwanza kabisa ningependa kufafanua neno "Hasara" kwenye Kichwa cha uzi huu. Ikiwa 'Moderators' haitawapendeza basi, maamuzi yenu yataridhiwa. Hakukuwa na haja ya kuweka...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
1. Kidato cha kwanza mpaka cha nne Elimu ya biashara, uwekezaji na fedha itolewe kwa nadharia 2. Kidato cha tano na sita Elimu ya biashara na uwekezaji na fedha itolewe kwa vitendo walau asilimia...
0 Reactions
0 Replies
597 Views
Habari wana JF, Naitaji msaada wa kujua hizi kozi utofauti wake na fursa zake, na ipi ni bora zaid kwa soko walau kidogo tu. 1) Bachelor of Accounting and Finance 2) Bachelor of Accounting and...
1 Reactions
0 Replies
999 Views
By David R. Winston Editors: Victoria Jones, Marcus Andreopoulos and Thomas Hader. Narco-Insecurity, Inc. The Convergence of the Narcotics Underworld and Extremists in Afghanistan and...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Napenda kutanguliza shukrani zangu kwenu,nilikuwa nataka kujua kwanini wanasema chuo cha afya cha lugalo ni Cha serikali lakini ada yao ni kama chuo binafsi, je hii inatokana na nini maana vyuo...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Ni kweli ajira nyingi zinategemea na chuo ulichosomea, mfano waliosoma vyuo Kama MUHAS, UDOM na UDSM wanaajiriwa sana kuliko waliosomea vyuo vya kawaida kama Kampala University n.k
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nchi yangu ya Tanzania kama inatamani kupiga hatua zaidi kwenye maendeleo ya tekinologia inapaswa kuangalia zaidi suala la elimu inayotolewa na vyuo haswa vya umma. Unakuta mwanafunzi anamaliza...
0 Reactions
0 Replies
536 Views
UTAANGULIZI Kwanza kabisa tunapaswa kuelewa tunaposema elimu tunamaanisha Nini?Inaweza kuwa tofauti na unavyofikiri Lakini maana halisi ya elimu tunasema ni taarifa zilizo rasmi ambazo Huwa...
0 Reactions
0 Replies
368 Views
Habari zenu wanajukwaa. Naombeni tujadili uelewe juu ya emotions hata kiswahili zinaitwaje. Tuko hapa kujifunza sio kuwa mie Ni guru. In short am a loser, am dumba$$. Sio kuwa huru ongea kitu...
0 Reactions
1 Replies
991 Views
Wapo wasimizi wanashiriki kila zoezi la kazi maalum kwa sababu ya connection tu lakini si waadilifu. Baadhi wamekuwa wakiomba fedha ili wawabebe wanafunzi na wamiliki wa vyuo wasio na maadili...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Vyuo vikuu wawe wanapiga paper moja nchi nzima kama ilivyo kwa darasa la nne la saba kidato cha pili cha nne cha sita na vyuo vya ualimu Hii itapunguza degree za michongo na itaipa hadhi elimu...
2 Reactions
15 Replies
843 Views
Habari zenu wanajukwaa...naomba msaada kwa mtu yeyote mwenye ufahamu wa hii taasisi ya "Aim's" (African institute for mathematical science)
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu, Nina swali kuhusiana na kozi ya architecture hapa Tanzania. Kwa mwanafunzi ambae hajafanya combination ya science na anataka kusoma architecture, inawezekana? Mwanafunzi mwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau ninaomba mchango wenu wamawazo. Nimekua mtumishii wa serikali kwa miaka minne Sasa, katika idara ya elimu(Mimi ni mwalimu) umri miaka 28. Nafundisha masomo ya physics na chemistry, na...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Habari wakuu, rehma za Mwenyezi Mungu ziwe nanyi. Nafundisha kusoma, kuandika na kuhesabu kwa vijana na watu wazima kwa ada nafuu kabisa. Muda wa program ni miezi miwili tu mtu anakuwa safi...
1 Reactions
8 Replies
617 Views
Back
Top Bottom