Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Tanzania hususani idara ya elimu bado tuna mapungufu kadha ambayo yakifanyiwa kazi basi soko la ajira litakua kwa Kasi na vijana kupungua kukaa vijiweni na kutumia mihadharati, Mfano mitaala...
1 Reactions
0 Replies
448 Views
NIKIWA NA BCD KWENYE COMBINATION NAWEZA FANYA MTIHANI KAMA PC KIDATO CHA SITA
0 Reactions
1 Replies
662 Views
Kijana aliyepata division two EGM anaweza kuchaguliwa UDSM? Je ni kozi gani nzuri kwake? Je asipopata UDSM anaweza kupata chuo gani kingine au kozi gani. Yeye anapenda kozi yeyote. Je, nimshauri...
1 Reactions
1 Replies
874 Views
Hello marafiki. Kuna ndugu kaniuliza swali hapa. Anataka kujoin bachelor mwaka huu. Hivi kati ya Bachelor of Business Administration (BBA) na Bachelor of Commerce (BCOM) ungemshauri asome kozi...
1 Reactions
57 Replies
11K Views
Hivi huyu ni Ben Mkapa wetu? Aliyemkosoa Chinua Achebe......kwenye kitabu chake cha "No longer at ease" Ben Mkapa of the W.E.B. DuBois Institute wrote, "Achebe has a broad vision of the world he...
1 Reactions
2 Replies
761 Views
Habari zenu wapendwa.samahani nina binamu yangu kamaliza kidato cha sita mwaka huu alisomea HGL ambapo matokeo yake ya kidato cha sita alipata div 2.12 ambapo kila somo alipata D.Tunaomba ushauri...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Wakuu habari msaada kwenya tuta kuna mdogo wangu namfanyia application za vyuo hii Bachelor of Science in Education na Bachelor of Science with Education tofauti yake ni ipi
1 Reactions
3 Replies
503 Views
Naombeni kujua matumizi ya at least, at most, not more than, more than kwenye somo la mathematics ususani mada linear programming
2 Reactions
10 Replies
494 Views
Kuna shule nimeikuta huku Mbeya, inaitwa MPUGUSO SECONDARY SCHOOL wilayani RUNGWE, sio ya bweni....! Wanafunzi wanaenda shule SAA KUMI NA MBILI ASUBUHI wanatoka SAA TATU KASORO USIKU, imagine SAA...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Diploma in Early Childhood Education -Open University Tanzania(OUT)
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba kufahamishwa hapa TANZANIA kuna chuo kinatoa bachelor of statistics with information technology
0 Reactions
2 Replies
381 Views
Kwa mnaoifahamu naomba mnijuzs vizur kuhusu hii course nikimaanisha ajira yake na mshahara kwa mtu wa degree
1 Reactions
50 Replies
20K Views
Habari Wana forum, Naomba kueleweshwa mtu anaendaje kuomba nafasi ya kusom degree ya medicine physically?na asaidike? Je, hiyo inaezekana kwa vyuo gani?
0 Reactions
3 Replies
476 Views
трплатлтпаіиа
2 Reactions
1 Replies
443 Views
Samahani,Kuna watu wameapply udom na maombi yamekubaliwa... Maana mm nimejaribu na nimelipia ila bado wananiandikia not paid Na nimewapigia cm wakasema ni tatizo la kimtandao ila hadi asa ivi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Najua wakati mwingine mnapitia hali ngumu, hakuna wa kuwasaidia katika masomo haya ya sayansi labda kutokana na changamoto ya masomo haya! Basi nipo Hapa kuwasaidieni either kwa maswali conceptual...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habali Ndugu, Mimi ni Mwalimu wa Masomo ya Science na ICT kwa shule za Msingi na Secondary. Nimesoma Bachelor of Education in Science with ICT (UDOM). Kama unahitaji Mwalimu wa TUITION kwa...
0 Reactions
1 Replies
919 Views
Wakuu habari kuna dogo anataka kuomba chuo cha udsm ila kwenye kujaza index namba anaambiwa inatumika na mtu mwengine hivyo suluhisho lake ni lipi ili aweze kuomba chuo
0 Reactions
0 Replies
297 Views
Mwenye ujuzi anijuze nini nifanye, nimeingia kwenye mfumo wa NACTEVET kwa ajili ya maombi ya chuo cha afya nikatumiwa namba ya malipo lakini inakataa kuilipia, nikirudi tena kwenye mfumo naambiwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom