Poleni na majukumu ya kila siku ndugu zangu, nimemaliza degree ya kwanza ya business administration na nina kazi yangu binafsi kwa sasa lakini haikuwa ndoto yangu ilinilazimu kusoma Ili nipate...
Habar wakuu,
Bila kupoteza muda naomb niende moja kwa moja kwenye swali. Naomba kufahamishwa app nzur ambayo naweza soma vitabu nilivo download ambapo naweza kubold,kuhighlight na kumark points...
Habari zenu wana jf mm Nina Mdgo wangu amechaguliwa Udom bachelor of Education in Early childhood, naomba ufafanuzi kwa anayeifahamu vizuri hii coz kuhusu ajira zake na changamoto zake pia na je...
NECTA ACSEE RESULTS: SHULE ZILIZOONGOZA KWA KILA MKOA
1.MWANZA- SUMVE SECONDARY SCHOOL
2.TABORA-TABORA BOYS
3.SIMIYU-MKULA SECONDARY
4.KILIMANJARO-USANGI DAY
5.Morogoro-MZUMBE SECONDARY...
Waungwana habarini za jumapili na pia herini sikukuu njema ya Iddi kwa wahusika.
Naomba kusaidiwa namna ya kuweza kukipata kitabu cha No Easy Day by Mark Owen Mwanajeshi wa Seal team USA kwa njia...
Clinical Medicine ndo kozi ya Afya ngazi ya vyuo vya kati inayoongoza kuchukua wanafunzi wengi, lakini ndo kozi inayoongoza wanafunzi kufeli, nimepitia data za vyuo vitano nchini, nimeshtuka...
New York is 3 hours ahead of California,
but it does not make California slow.
Someone graduated at the age of 22,
but waited 5 years before securing a good job!
Someone became a CEO at...
Wakuu habari
Mwaka jana mwishoni baraza la elimu ya ufundi..ilitoa waraka wakusitisha udahiri wa mwezi wa 3 kila mwaka..kwa sababu rukuki zisizo na mashiko.
Kimsingi uamuzi huu haulisaidii taifa...
Wakuu samahani Niko na dogo nataka kumfanyia application sasa naomba muongozo namna ya kufanya application kwa vyuo vyote serikal na private
Je na apply kupitia NACTE au naenda kwa Chuo direct?
Habari za muda huu wanajamvi.
Naomba kufahamu zaidi kuhusu elimu tajwa hapo juu.
Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka huu 2022,nimesoma tahasusi ya HKL.
Hivyo naomba mwenye ufahamu anipe...
wapenzi wa kuondoa ujinga na kuongeza maarifa mnisaidie napata wap chuo chenye cheti cha kuthaminika kwa kozi nimetaja! mhusika wangu amehitim f4 mwaka 2021.
nisaidien wide range of choices...
Habari wakuu Nina kaka yangu amekuwa akiomba kozi ya nursing chuo Cha serikali mwaka wa pili sasa hapati kwa ngazi ya cheti na diploma matokeo yake ni div 3 ya 25,phy-D,chem-D,bios-C,je nini...
Habari za muda huu wanandugu wa JF,
Pale DMI kuna kozi inaitwa Bachelor degree in shipping economics and logistics hii kozi inahusiana na nini? then kwenye suala la fursa zake ipoje (Au ni kozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.