Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
It is normal for students to dislike examination. However, that situation is not unique to anyone and can be easily dealt with. Therefore, to manage exam phobia 9 fear for exam) so that the you...
0 Reactions
0 Replies
513 Views
Wataalam wa elimu naomba nipate ushauri hatua za kufuata. Nna mdogo wangamemaliza sekondari shule za Kenya mpaka darasa la nane Sasa anataka kuja kuanza KUJIUNGA na chuo hapa bongo.Walaam naomba...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Leo Baraza la mitihani limetangaza matokeo ya kidato cha 2,4 na mitihani ya ufahamu kwa wanafunzi wote waliofanya hiyo mitihani mwaka 2021. Mwezi june 2022 itatutangazia matokeo ya form 6 pia...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari za leo WanaJF, Rejea, kichwa cha uzi hapo juu. Napata changamoto namna ya kutuma maombi katika tovuti ya Chuo cha Upolisi Moshi TPS MOSHI – NIDHAMU UAMINIFU NA HAKI maana kwenye website...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
wakubwa shikamooni! wenzagu wadogo za saa hizi! Naomba mwenye link ya form six results anisaidie! Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za asubuhi ndugu zangu, "Naitaji kujiunga na open university (OUT) Sasa nimeambiwa nika hakiki vyetu vyangu NACTE kupitia website yao nikiingia kweny hiyo website Sioni mahara hakuhakiki...
0 Reactions
5 Replies
418 Views
Nimeomba kurudishiwa kiasi cha pesa ambacho loan board walikata kimakosa, nimefuata hatua zote, baada ya kuconferm nimegundua account namba nimeikosea na hakuna option ya kuedit, Nimejaribu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi, Nina mdogo wangu kahitimu kidato cha nne na kwa masomo ya science kafaulu kwa wastani wa C. Je, ni course gani nzuri anaweza kusoma ambayo uhitaji wake ni mkubwa kwa sasa?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwenu wanabodi. Msaada. Ninatamani kuongeza maarifa bila kujali ajira (sina hitaji hili) kwa kusomea saikolojia teolojia na falsafa hasa hasa online, hata short course (kama ipo). Kama ipo kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama hulka yetu wanadamu kutokuyafahamu yajayo naye hakujua kama hiyo ndio ingekuwa chanza cha mabadiriko yake ya kifikra. Kwanini?... Endelea kusalia nasi...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna kozi mpya inaitwa BACHELOR DEGREE IN AGRIBUSINESS MANAGEMENT AND TECHNOLOGY pale MUST mwenye uelewa anisaidie
0 Reactions
4 Replies
603 Views
Wasaalam, Wakuu kama kichwa cha mada kinavyosema.. Kijana wa PCB, aliyepata division 2.11 with physics-C, chemistry-D, and Biology-D! anaweza kupata nafasi ya kusoma degree ya pharmacy na kupata...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, Mdogo wenu nashukuru nimemaliza salama mtihani wangu wa kumaliza kidato cha sita natumaini nitafaulu vizuri. Naomba mnipe maelekezo juu ya mambo ya kuyazingatia ninapoelekea...
7 Reactions
87 Replies
10K Views
Nipo njia panda ni mwezi sasa, sijui niende chuo gani. Usiku na mchana nachakata ubongo wangu kisha nalala. Katika kufanya application za vyuo mbalimbali duniani nimebahatika kuchaguliwa vyuo...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Uzi special kwaajili ya chuo pendwa Cha ushirika moshi,tuchangie uzuri ,udhaifu ,kozi zitolewazo,wahadhiri waliopo namna wanavotoa huduma kwa wanafunzi nk.Karibuni🙏
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakubwa m ni mwanafunzi wa chuo mwaka kwanza.NAWAOMBENI mnishauri nipigi field kipi ambacho kinasoko la ajira au naweza jiajiri binafsi. 1. Software developer 2. Database administator 3. Network...
1 Reactions
6 Replies
535 Views
Mimi ni kijana wa miaka 25. Ninapitia wakati mgumu sana kwa sasa. Nilikuwa mwanafunzi wa chuo lakini imetokea nimedisco chuo. Nahitaji ushauri wa nini nifanye maana naona kama nimevurugwa kwa...
4 Reactions
41 Replies
13K Views
Hiki chuo ni chuo cha ubabaishaji wa hali ya juu unabaishaji wa kwanza unaanzia kwenye ada. Tangazo lao linasema ada ni 1.8M lakini ukija kusoma utalipa takribani milioni 3 na mwaka huu ada...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwema Ndugu Zangu? Mimi ni Mhasibu, elimu yangu ni Degree ya Uhasibu. Nimefanya kazi mbalimbali za uhasibu lakin naona kama nahitaji kusoma zaid, ili nipate changamoto mpya zaid na pengine...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Back
Top Bottom