Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Hawa wasomi wanashangaza. Hivi ninyi ni walimu?🤣 Hivi taaluma yenu mnaijua kweli. Hivi inakuwaje mtu anaenda kusoma kozi chuoni ambayo hajui mwisho wa siku hajui atakuwa nani ? Au ni ilimradi...
14 Reactions
106 Replies
20K Views
Nina mtoto wa ndugu yangu amesoma HGK amepata division One ya point 7. Ana B ya kiswahili, B ya Geograph na C ya history. Ananiomba ushauri asome course gani? Yeye kama yeye alitamani asome HR...
0 Reactions
4 Replies
607 Views
Shule nyingi za private wazazi fuatilia mtoto wako vzr. Usione anafaulu ukafikri yupo njema. Mwaka jana mama mmoja alilia sana baada ya mtoto wake kila akifanya mitihani ya kutafuta nafasi ya...
0 Reactions
0 Replies
440 Views
Wakuu habari. Kuna mtu kaniomba ushauri hapa course za kusoma kwa vyuo vikuu vilivyo hapo Dar. Yeye ni mhitimu wa kidato cha sita mchepuo wa HKL, ni course gani asome yenye tija wakuu...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Sijui kwa takwimu ni idadi gani ya wahitimu wa kozi tajwa hapo juu ambao wameingizwa kwenye soko la ajira toka vyuo vikuu kuanzia mwaka 2015. Idadi ya walimu wa sanaa 74 walioajiriwa kupitia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello.. Naombeni kufahamishwa mahali wanakofundisha lugha ya kijerumani au kifaransa kwa hapa Dar. Nawasilisha [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni muhitimu wa bachelor degree of Political Science with Education. Miaka minne baada ya kumaliza tuu chuo nilipata kazi katika kiwanda cha biscuits kama supervisor. Ila kiwanda hicho sasa...
2 Reactions
47 Replies
6K Views
Unaweza usiamini ukiangalia shule zetu kongwe zinavyoburuzwa na sekondari za kata zenye miundombinu isiyo rafiki kwa wanafunzi, hazina chakula cha mchana, watoto wanatembea umbali mrefu hata...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
  • Closed
Habarini za kazi wapendwa poleni na majukumu ya kila siku Naomba mwenye kufahamu utaratibu wa kurudia masomo ya kidato cha nne aniambie je? iwapo mtu anataka kurudia masomo yote aliyofanya...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Nimeajiriwa as mwalimu, na ajira yangu nilipata kupitia postgraduate diploma In education, nataka nisome postgraduate diploma in curriculum. Je, inaweza nisaidia kufanya transfer kutoka kuwa...
0 Reactions
5 Replies
763 Views
Wakuu tutegemee lini matokeo ya form six kutangazwa?
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari za humu ndani wakuu, kuna kozi imeanzishwa chuo kikuu cha Mzumbe kwa ngazi ya Bachelor kozi tanjwa hapo juu. Mimi ni Clinical Officer mwajiriwa wa serikali ninawaza kwenda kuisoma kozi...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari Waungwana..Naomba kuuliza jinsi ya kulipia hizo Asilimia 25 kwa bodi ya mikopo kwa mnufaika wa mkopo aliyesitisha masomo miaka ya nyuma.Asante
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Karibu Chuo Kikuu mdogo wangu! Hiki ndio kile chuo ulichokua ukikitamani siku zote, hongera na karibu sana. SI ULISIKIA KUNA BATA!? 1. Hili ndilo eneo pekee wanafunzi wanaingia darasani Kwa...
8 Reactions
18 Replies
4K Views
Wakuu mdogo wangu kapata division 1 ya 9 (PCB). Kozi zipi anaweza eligible kuomba?
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Mmeamkaje wakuu? Yaani mafunzo ya vitendo(field) yanaanza tarehe 11 mwezi huu wa saba, ila mpaka muda huu wanafunzi hawajapata/hawasa-sign fedha/malipo yao ya 'field'. Huu tuuite ni uzembe au...
0 Reactions
1 Replies
439 Views
Hongereni sana Machame girls, hakika Mmeng'aa Sana Matokeo ACSEE 2022, https://matokeo.necta.go.tz/acsee2022/index.htm
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Mimi ni Dr. Adinan Juma, daktari na mkufunzi wa vyuo vya Afya mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 10. Nimekuwa akifundisha wanafunzi wa level za Diploma mpaka PhD. Leo nataka nikupe dondoo 5 muhimu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Yani shule ya serikali haina division 4 wala zero? https://matokeo.necta.go.tz/acsee2022/results/s0129.htm
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom