Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Nataka kusoma kozi ya bachelor of science in urban and regional planning kada yangu ni mwalimu nifanyeje? Nimepata kibali cha kwenda kusoma. Nisaidieni.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakubwa m ni mwanafunzi wa chuo mwaka kwanza.NAWAOMBENI mnishauri nipigi field kipi ambacho kinasoko la ajira au naweza jiajiri binafsi 1. Software developer 2. Database administator 3.Network...
0 Reactions
3 Replies
410 Views
Mimi ni 3rd year mzumbe Moro BAF, nataka niunge MAF Mzumbe dsm campus au MBA finance UDSM. Ninaomba neno la shauri katika haya machaguo. Pia kwa upande wa MAF dsm nilitaka nijue mazingira pale...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Habarini, Natafuta chuo kizuri cha kusoma Msc Project Management ONLINE. Kiwe cha Uingereza (UK) Asanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu napata utata kati ya kozi hizi mbili ngazi ya shahada naomba ufafanuzi... 1. Ni ipi ni rahisi kufanyiwa recategolization kwa in service? 2. Ni ipi kazi zake zina mshahara mkubwa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Naombeni msaada PHYSICS. S.chand principles
0 Reactions
0 Replies
631 Views
Wale PCB's waliokuwa na ndoto za MD halafu tukajikuta ni walimu tukutane hapa kujadili kilichotufelisha wenzetu wajifunze
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ni mwaka 2015 nilipohitimu chuo cha ualimu na kurudi mtaani kusubiri ajira,kwa bahati mbaya raisi wa kipindi hicho alisitisha ajira kwa miaka kadha na sababu kuu ikiwa watumishi hewa, basi...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Kuna kozi pale SUA inaitwa agricultural economics and agribusiness, hii inahusu nini na fursa zake ni zipi?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mimi ninasoma pcm advance ningependa kujua kama nitaweza kupata nafasi kusoma degree ya pharmacy chuo kikuu,mimi nilikua na malengo na pcb lakini nipo pcm kutokana na influence ya wazazi
0 Reactions
14 Replies
4K Views
MH.KAWAMBWA KATIKA UTOAJI WA TUZO KWA WANAFUNZI BORA KIDATO CHA NNE 2013 HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. SHUKURU KAWAMBWA (MB) KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Msaada natafuta shule nzuri ya english medium ambayo inapatikana wilaya ya Kinondoni na maeneo jirani ya Mwananyamala hadi Makumbusho. Ada kwa mwaka isizidi milioni moja na nusu.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna dogo mmoja amehitimu diploma ya laboratory technology pale DIT, je anaweza kusomea degree ya medical laboratory? au ni course ipi nzuri anaweza kusomea?
0 Reactions
3 Replies
453 Views
Natafuta mtaalamu au mwalimu anayejua Managerial Economics nina assigment ya kufanya ... ani check Inbox
0 Reactions
7 Replies
491 Views
Wapendwa me napenda kufahamu je kwa mtu mwenye uhitaji wakusoma nje katika nchi zilizo wekwa hapo juu. Je afanyeje ili aweze kupata na je huwa Kuna taratibu na hatua zipi anatakiwa kuzifwata ili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hawali ya yote mimi niipongeze serikali ya Mama na Wanawe kwa kuthubutu kutoa ajira kwa vijana . Pia niwape pole kwa vijana wenzangu ambao bado hatujabahatika lakini ninawapongeza pia kwa...
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Habari zenu wakuu,, naombeni mnisaidie kama ipo tayari PDF ya wanafunzi waliochaguliwa kidato cha 5 au chuo kwa awamu ya pili
0 Reactions
1 Replies
863 Views
KOZI nzuri za education mnisaidieni
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Amani iwe nanyi Wakuu, Maisha ya sasa imekuwa adimu binadamu kumtendea wema binadamu mwingine. Imekuwa ni nadra sana kumsaidia mtu mwingine hata tu kwa mawazo. Yaani wivu, utapeli, chuki na mambo...
3 Reactions
38 Replies
6K Views
Kama title inavojieleza , naomba waliopita chuo cha ufundi veta kipawa katika fani ya ufundi simu waje kunipa muongozo juu ya ubora wa kozi.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom