Ni mwezi mmoja umetimia tangu chuo kikuu cha Udom kifunguliwe na wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza college of informatics and virtual education pamoja na Natural science hawajapewa hela za...
poleni na mihangaiko wakuu, nina shida moja naombeni orodha ya vyuo vya canada vinavyonipa admission ya masters bila TOEFL na GRE....wakuu nisaidieni wajemeni
Ndugu wana jamvi wenzangu ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kuniwezesha kumaliza masomo yangu.
Nimepata 'Merit' in Msc. Operations Research and Statistics.
Kwenye hii course tulikuwa wanafunzi 15...
`Sign language is the main cause for the deaf students in Tanzania to fail their National exams be it standard 7 or form 4 and form 6 because of the nature of the language(sign language) that it...
Habari wan JF
Mimi ni Mhitumu wa shahada ya kwanza Chuo kikuu cha Dar es Salaam. Baada ya masomo ya degree yangu ya kwanza nikapata kazi Iringa. Katika kuangalia mstakabali wa kujiendeleza...
Kamati ya wazee
haikubaliani na uamuzi
wa kuwafutia matokeo
wanafunzi wale tu
walioshutumiwa
kufanya udanganyifu bali kuwafutia wote
kwa kuwa mitihani
ulivuja. Kufuatia hoja
hizo za msingi...
Waalimu wa shule ya msingi Mbezi Ndumbwi iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es salaam, wanawaadhibu wanafunzi wasiofanya majaribio ya kulipia wakati wa asubuhi (speed test) kwa kuwakalisha chini...
Wanafunzi wa College of Business Education wanatarajia kuandamana leo kupinga sheria mpya chuoni hapo inayopiga marufuku uvaaji wa suruali zinazobana, sketi, blouses na mavazi mengine yanayoacha...
Najiuliza hili swali, mbona shule za international na maacademy hakuna viboko, au shule za wahindi na watu wanafaulu. hivi hakuna njia nyingine ya kuwaadabisha vijana wetu? mi naona viboko ni...
Habari zilizozagaa hapa chuoni ambazo hazijadhibitishwa rasmi zinasema mwl wa cbe hapa dodoma usiku wa kuamkia leo tarehe 11/4 ameuwawa kikatili na watu wasiojulikana vyanzo vya habari vinasema...
waafrika wenzangu habari. nina mdogo wangu ana dploma in Accountancy ya TIA, sasa vp anaanzia module gani cpa na cost zake, ratiba ya vpindi, centre nzuri, ada, registration lini?
Nb. kwa sasa...
SHORT COURSE ANNOUNCEMENT ON DATA PROCESSING AND ANALYSIS
The Department of Statistics, College of Natural and Mathematical Sciences is announcing a short course on DATA PROCESSING AND...
Hivi kuna hili swala la measuring of the stock market but i get cofusion. Please, i would like to know how they know the stock of certain company increase/decrease?
Also i would like to know if...
Nimeuliza kwasababu,kwenye kitabu cha TCU (ie Student's Guidebook) wameandika zinapatikana NBC,cha ajabu leo nimeenda kwenye tawi moja Arusha,wanadai hawajui kitu kama hcho!
Wandugu,
Kama kuna mwana bodi yeyote ambaye alishawahi kufanya kazi au bado anafanyakazi Mradi wa HADO (Hifadhi Ardhi Dodoma), nadhani makao makuu yake yalikuwa/yapo Kondoa; au mradi wa HASHI...
Nimesikia matangazo radioni:tumaini na clouds wanatangaza chuo kinachotoa mafunzo ya mifugo ndani ya miezi 3 tu na mhitimu atakuwa na uwezo wa kusimamia kazi za mifugo popote, tena anayetaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.