Habari zenu wakuu.
Ninaomba na kuhitaji ushauri wenu katika hili.Nina binamu yangu amesoma cheti katika chuo KIKUU CHA KWAZULU NATAL cha Afrika ya Kusini,FACULTY of HUMANITIES,SOCIAL SCIENCE and...
Wadau wa Elimu nataka fanya research ktk somo la english kwa tz, naombeni mada ambayo ni researchable ikiwa ni sehemu ya kumalizia masomo yangu ya chuo. natanguliza shukrani za dhat kwa...
Wakuu nina mdogo wangu alisoma certificate hapa CBE akapata ajira sasa ni mwaka WA sita ofisi imeamua kumpa ufadhili WA kusoma kwa mwaka wa masomo 2012/2013 Yeye amechukua fomu za masters na...
Leo wanataaluma na wataalamu wa sayansi ya dunia (Earth Scientists-Geologists et al) tumemzika mwanataaluma mahiri Prof.Mutakyahwa. Prof.Muta ni mmoja wa wataalamu waliotoa mageo karibia wote...
1.Timbulo---------kukopi(Naomba desa nikalitimbulo,niazime cd yako nikaitimbulo,kama umeupenda huu uzi unaweza ukautimbulo etc)
2.Lusinde----Tusi,kutukana etc(Kulusinde ni kutukana,amemlusinde...
The liquid inside young coconuts can be used as a substitute for
Blood plasma.
No piece of paper can be folded in half
more than seven (7) times.
Donkeys kill more people annually
than plane...
Wana JF, Naomba msaada kama kuna mtu anafanya kazi au anamfahamu mtu anafanya kazi mamlaka ya hali ya hewa anipe contacts zake. Kuna research nataka kufanya, naangalia uwezekano wa kupata data...
Wanafunzi wa Kohoti ya kumi ya Taasisi ya Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo maarufu kama Law School wapo kwenye mitihani ya Written Practical Exercises(WPE).Wanamaliza mitihani hiyo leo.Hadi...
Wa jf,
mtot wa sister amechaguliwa kujiunga na kidato cha tano shule za serikali, (TANGA SEC) hajapata barua ya mwaliko/maelezo( Instruction letter). Kuna mwenye kujua hizi shule zinaanza masomo...
kuna mwanachuo wa udaktari mwaka wa nne muhas ajulikanaye kwa jina la Erick hyera amefariki dunia usiku wa kuamkia jumatatu kwa ajali ya gari. Ajali hiyo ilitokea mandela road maeneo ya mabibo...
Naomba msaada nimemaliza form six nataka kwenda kusoma marekani degree ya kwanza mambo ya journalism, vipi garama zake natakiwa kuwa na m ngapi za tz kuanzia visa, tiket, na maisha ya kule yakoje...
Mimi ni mwalimu ngazi ya cheti/grade A. O-Level nilipata Math F, English D,History D, Geog C, Biology D, Civics D, Agriculture C na Kisw C. Napenda kusoma: Kilimo [any part], Procurement, Mipango...
Ndugu zangu wadau wa Jamii Forum na wasii katika blog hii tukumbushe serikali yetu kuwa kuna haja yakutupia macho shule za kata Tanzania kwani shule hizi zinaongoza kwa kufelisha wanafunzi na hata...
Mi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo cha ARDHI university zamani UCLAS.
Nataka kuomba scholarship ya kwenda kusoma nje kwa coz tofauti na ya sasa ninayosoma.
Kwa sasa nasoma BsC in...
The age of men..
It is now accepted that the world is in a new geological period - called - Anthropocene.
This simply means the age of man's influence into the global ecosystems, biodiversity and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.