CHUO KIKUU DAR ES SALAAM (UDSM) KIMEONDOKEWA NA PROFESSOR MUTAKYAHWA NGULI WA MIAMBA
Kwanza poleni sana wanajumuiya ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa kupotesa mtu muhimu kama huyu, ni wazi...
1.Nini tofauti kati ya hizi programmes mbili? "Bachelor of Education in Science"na "Bachelor of Science with Education"
2.Nini tofauti kati ya "University College,University na Non-University"...
Jamani ningependa kujua details za Minaki in case of enviroment kwa anayeijua. Na pia kwa wale wanaosoma hapo, au wenye taarifa shule inafunguliwa lini ningeomba mnijuze.
Hivi kweli kuna humuimu kwa wanafunzi wa kidato cha nne kulipia pesa za kufanyia mtihani wao wa kuhitimu? serikali inataka mwanafanzi wa kidato cha nne kulipia 35,000/= kama pesa ambayo...
Kwa wale waliosom Earth Sciences yaani Geolology, mining na mineral processing engineering Mlimani watakuwa wanamfahamu Prof Mutakyawa, kwa wale wenye taarifa za karibu naomba watupe taarifa...
Ukweli ulio wazi shule hizi hazina waalimu na maabara sasa ili kupima uelewa wao kwenye mitihani ya mwisho f4 napendekeza wawe wanatungiwa mitihani yao ambayo iwe tofauti na shule za mission au...
Wadau wenje kaonesha njia on participatory approach in development,wananchi walikua wengi sana,nlikunwa na ile style,mlemavu mmoja kaja kwa baiskeli yake na kuku wake wa skukuu ambae aliomba...
Jamani napenda kuuliza hivi vyuo hutoa mtihani ambao hawakuchaguliwa direct hufanya ili kujiunga swali langu ni
Je watakao faulu huo mtihani wanakuwa chini ya serikali au awanajitegemea.........
BONYA HAPA KUWAJUA VIZURI VIFARU WEUPE
Africa | Facebook
Scientific Name
Ceratotherium simum
Common Names
Square-lipped rhinoceros
Classification
Close Relatives
The African rhinoceros...
Tumeshuhudia matokeo mabovu ya kidato cha nne miaka miwili mfululizo, 2010 na 2011. Haya ni matokeo ya siasa uchwara katika mipango ya elimu. Ni wanasiasa wanaoshawishi au kulazimisha mipango...
wakuu napenda kuwatangazia rasmi kuwa kitabu cha somo la economics kwa advanced level katika syllabus mpya kimekamilika. Tafadhal, kwa mawasiliano tuwasiliane kwa simu namba 0767122662 au 0654047387
Kwa miaka ming sasa, mambo yamekua hayaendi sawa ktk hii fani ya UALIMU, ualimu sasa umekua n kama kapu la kutupia uozo wa kila namna, dharau, dhulma na matusi, huku chama cha walimu, ambacho n...
Wadau,
Natafuta partiner ambaye amesajili chuo cha Uandishi wa Habari (Journalism). Nipo sehemu nzuri sana ninauwezo wa kupata wanafunzi zaidi ya 50 na mimi mwenyewe ni mwalimu nikawafundisha...
The age of men..
It is now accepted that the world is in a new geological period - called - Anthropocene.
This simply means the age of man's influence into the global ecosystems, biodiversity and...
kiukweli nashangaa sana bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa maana kama mtu ni emloyeed na government unashindwa nini kumpa mkopo halafu uanze kukaata on the spot ili hiyo hela iweze kuwasomesha...
Wajumbe wa baraza la wawakilishi wamepitisha mswada wa sheria wa Kuunda baraza la Mitihani Zanzibar. awali Jina lililopendekezwa na waziri wa elimu wakati wakiwasilisha mswada ilikuwa ni Kuanzisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.