Jamani naomba kuuliza gharama za kusoma masters degree na kuishi nchini Japan.
Pia ninaomba kwa wale wanaofahamu nchi ambazo zinatoa masters degree na zenye ada nafuu.
Shija Felician,Kahama
UMEME wa mionzi ya jua[ Solar] unaoendelea kufungwa kwa ufadhili wa Mbunge wa Jimbo la Msalala, Ezekiel Maige katika baadhi ya Shule za Sekondari za Kata wilayani Kahama...
A teacher is the designated leader,and the pupil is the follower.Each pupil is expected to perform his or her task and, see that the purpose of the group is achieved,this will let pupils develop...
Wana jamii forum naomba ushauri wenu, kutaka kujua hadhi ya elimu huria kama inayotolewa na OPEN UNIVERSITY katika jamii yetu ya kitanzania aidha kwenye soko la ajira au mtazamo wa jamii kwa...
Vijana waliomaliza f4 mmefeli madai shule hazina walimu ama bora wapo,wewe mbona hutaki ualimu unafikiri watatoka wapi,kila mtu anawaza kwenda bank,sociology,n.k,kijana unatakiwa uangalie soko la...
Wadau naombeni mwenye kufahamu kwa ufasaha hiki kipengele kilichopo ktk hii form ya hawa watu wa TCU ambayo unatakiwa ujaze tayari kwa kufungua account yako ambayo utaitumia kwa kutuma particulars...
Kwa miaka mingi Sanaa ya Tanzania imekuwa ikikuzwa na kuendelezwa kwa kile kilichoitwa kipaji pekee, hili limefanya sanaa yetu isimame na isisonge mbele kulingana na mabadiriko ya sayansi na...
SERA ya Taifa ya elimu inabainisha kuwa itatoa elimu kwa watu wote bila kujali upungufu wa wananchi wake hususan wenye ulemavu.
Uhuru wa kila Mtanzania kupata elimu ni haki yake ya msingi...
Hello,am looking for somebody to help me out with my last installment school fees which is only 2mil. I have very good results from my last semester (upper second 3.8), i study hard but i really...
Wanafunz wa vyuo vikuu tz wamefungiwa kufanya mikutano yao hasa wanapo dai hak zao zinazoonekana kutotekelezwa na serika, likiwemo la kucheleweshewa mikopo yao. Je hii ni halali? Na maisha bora...
Mwishoni mwa wiki iliyopita Uongozi wa chuo iliwakamata wanafunzi wakiwa kwenye daladala ya ABIRIA pamoja na abiria wengine,wakaamulu gari liludi mpaka jengo kuu la utawala na kuanza kuwasachi...
Wanafunzi wa vyuo vikuu tz wamekatazwa kufanya mikutano yao ambayo wamekuwa wakiifanya wanapodai haki zao zinazopuuzwa na serikali ikiwemo kucheleweshewa mikopo yao. Je hii ni halali na haya ndiyo...
Fredy Azzah
DISEMBA mwaka jana, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, ilitangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba ikieleza kuwa wanafunzi 9,736 wamefutiwa matokeo kutokana na kugundulika...
Ni swali nililoulizwa leo na bwana mdogo wa form one akaniahidi dhawadi ya bazoka nikipatia,nimepewa siku 2.Naombeni mchango wenu tugawane bazoka...!!!
*zingatia-liwe katika lugha ya kiswahili tu