Ndugu zanguni mi nimeshangazwa na system ya IFM, kwanza kabisa kusema ukweli sijaona faida ya "PROSPECTUS" kale katabu wanachotoa pale mana hakuna walifuatalo zaidi ya marks na grading tu...
HABARI kwamba idadi ya wanafunzi waliotarajiwa kujiunga na kidato cha tano mwaka huu imepungua kwa zaidi ya asilimia 13 kutokana na ufaulu mdogo wa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka jana...
Inasemekana selections za wanafunzi wanaotaraji kujiunga kidato cha tano April mwaka huu zitatoka siku chache zijazo! Ikumbukwe kwamba ni 12% tu! Ndo wenye sifa ya kuendelea na kidato...
Kenyan High Commissioner to Tanzania Mutinda Mutiso has advised the government to use bank institutions in managing students loans saying they have more skills and experience in borrowing and...
Baba mkandala najua una majukumu mazito yanayokufanya hata usipate muda wa kutulia na kukikagua chuo(UDSM), Nimeamua nitoe huu waraka wangu kwako ili uweze kuliona na hili. Kero yangu ni suala la...
naomba kuuliza kama bodi ya mikopo kwa elimu ya juu (HESLB) huwa inatoa mikopo kwa watu wanaotaka kuchukua Master. Kama wanatoa hiyo mikopo kwa Master je, utaratibu wa ku apply ni sawa na wa...
CHUO KINALIPWA PESA NA WATUU HAWASOMI BURE ILA KUTOA PESA YA KUNUNULIA RANGI YA KUPIGA KILA MWAKA WAMESHINDWA? ANGALIA MOJA YA MADARASA YAO HAPO CBE.
WHAT A BIG SHAME.o
nimepata hiv PHY=D CHEM=D BIOS=D MATH=F GEO=C LANG=C CIV =B KISW=D NA HIST =C JE NNAWEZA KUJIUNGA NA CHUO CHOCHOTE KUXOMA COMPUTER SCIENCE COZ NDO ILIKUA NDOTO YNGU NA NDO NA INTEREST NA...
habari ndugu zanguni mlioko jamvini. Baada ya kutafuta ajira bila mafanikio nimefikia kuanzizisha twishen centre yangu. moja ya resource ninayoitegemea ni past papers za national form two na...
Je kuna mtu aliyeisoma sera ya Elimu ya Tz? Je amesoma nini? Tukiwa kijiweni, kuna stori kwamba Tanzania haina sera ya Elimu, je ni kweli? Wasomi na wanaharakati wanahaha kutafuta 'mwarobaini' juu...
habari ndugu zanguni mlioko jamvini. Baada ya kutafuta ajira bila mafanikio nimefikia kuanzizisha twishen centre yangu. moja ya resource ninayoitegemea ni past papers za national form two na...
Ndugu Walimu, Tafadhali tafuta kitabu tajwa hapo juu kabla wanafunzi wako au wazazi hawajakipata ili kuepuka aibu ya kufundisha vitu vilivyopitwa na wakati. Kimeandikwa na mwandishi nguli wa...
Salamuni wadau na wahusika wengine.,
Naomba kufahamishwa kama MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2011 yameshatolewa.
Tafadhali tujulisheni hapa.
Habari wana jf kwa moyo moja napenda kuungana na waungwana wote wenye mapenzi mema na maadili ya inchi yetu kuwapongeza wana CBE Kwa msimamo wao wa mavazi waliotoa ifahamike ukiitwa msomi siyo tu...