WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha tano na Chuo cha Usimamizi wa Maji 2012.
Orodha ya wanafunzi hao hii hapa: Majina ya...
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano mwaka huu, huku idadi yao ikishuka kwa asilimia 13.34 ikilinganishwa na mwaka jana...
Shule ya Wavulana Songea na Shule ya Wavulana Tabora hazipo kwenye orodha ya shule zinazojulikana na Serikali ingawa zimepangiwa wanafunzi wa kidato cha tano.Kwa hali hiyo,Sule zilizopangiwa...
WALIMU WAKUU watano wa shule za msingi Manispaa ya Temeke jijini wamevuliwa vyeo vyao kwa kosa la kubainika kufanya udanganyifu katika mitihani ya darasa la saba iliyofanywa mwaka jana nchini...
Inasikitisha mpaka leo wanafunzi waliomaliza kidato cha 4 mwaka jana, hawajapangiwa shule mpaka leo,wenzao wa private walishaanza tarehe 6 mwezi 3.hawa watoto wa walala hoi wataweza kweli...
Wadau,
IFM wanatoa MBA - IB kwa ushirikiano na Indian Institute of Foreign Trade. Nani anayefahamu kama digrii ya chuo hiki inatambuliwa na TCU. Nisije nikaingia mkenge....Pia nijuzeni kama kuna...
Wadau, ukipitia rufaa za mtihani wa taifa form 4 mwaka jana 2011, only one student got her results changed from F to D in Basic mathematics.
Kama ni hivyo, hongera NECTA for that high degree of...
Habari zilizotufikia leo ni kwamba raisi wa serikali ya wanafunzi pale udom college of educutaion apelekwa trip nchini south africa, raisi huyo bwana machumu jose,ameambatana na spika wake bwana...
Jana kuna mdogo alinieleza kua matokea yake pale IFM yamekua marked 'Incomplete'
alipofuatilia mkuu wae wa idara alimuambia kua hujafana somo fulani (mgt) mwanafunzi alimuambia kua nimefanya mwl...
Dr. Ndalichako, ona sasa mtoto wa watu bado anaandamwa. Kumbe wanafuatilia Form five kaenda wapi, KISA ni kutoa matokeo ya mitihani kwa kutumia majina ya watoto wetu, badili mfumo weka namba za...
Habr wana JF. Jaman kama kuna anayefahamu kuhusu post za vyuo vya kilimo 2juzane kwan mpaka sasa cjui zinatoka lini or zimekwisha toka. Mwenye ufahamu na hili naomba msaada wake na pia kama kuna...
Kutokana na matokeo mabovu ya form IV mwaka 2011,shule za private zimekosa wanafunzi wa kidato cha tano mwaka huu (2012) kwa idadi wanayoihitaji.Baadhi ya shule imepokea mpaka wanafunzi watatu...
Wadau..Dogo wangu ka score Second Class Upper Division....Hii ina maana gani?? Je anaweza kupata nafasi kwenye Masters Level kwenye fani zipi?? Naomba kufahamishwa, asanteni kwa mchango wenu wenye...
MWANAFUNZI wa Chuo cha Uandishi wa Habari Morogoro, Hemed Athuman (21), amejinyonga kw akutumia shuka baada ya kufeli mitihani.
Kamanda wa polisi mkoani hapo, Adolphina Chialo, alisema tukio hilo...
Hapa naangaliana na ripoti ya "TANZANIA: ICT IN EDUCATION SITUATIONAL ANALYSIS" iliyotolewa mwaka 2010 na taasisi iitwayo gesci. Kwenye ukurasa wa 11 wa ripoti hii wameainisha baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.