Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wadau wote wanaopenda kuangalia open courses kutoka vyuo matata huko majuu, katika masomo mbalimbali tunaweza kushare hapa, kuna course kibao na nitakua tayari kukupa link ya course yoyote...
0 Reactions
3 Replies
36K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, Serikali ya JK imelazimika kuweka Mtihani wa aina yake kwa Sekondari zote za serikali kwa wanafunzi wa Kidato cha I kama Qualifying Test baada ya kutokuamini matokeo...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
ndugu zangu nimekuwa nikiangalia website za vyuo vya nchi za nje hususani vyuo vikuu vya nchini china na nimekuwa nikiona kuna kitu wanakiita major katika program zao za masomo lakini nimekuwa...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
What makes someone to be an expert or a proffesional in a given field?. is it a university degree or what. Je kila mtu anayemaliza degree ya fani flani ni anakua mtaalam wa fani hiyo? Nauliza...
0 Reactions
1 Replies
855 Views
Elimu kwa ujumla ni uwanja mpana wa kufikiri na kutenda.Tunapozungumzia uwezo wa kupambana na mazingira ni ile hali ya kutumia maarifa aliyojifunza kijikwamua na hatimaye kujijengea utu na uwezo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndg zangu, naomba kuuliza; je inawezekana mtu aliyehitimu Shahada (mfano Acquatic Sciences), na aliyekuwa anasomeshwa na serikali, kusajiliwa na kurudia shahada nyingine (mfano Medical Laboratory)...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wale mliosoma katika vyuo vya ufundi dit,mist,atc.. naomba mnisaidie kazi mhitimu katika fani ya labaratory technology.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello wakuu Nimepata scholarship fulani ambayo ipo kwenye project fulani kule south Africa (University of Johannesburg), sasa mshiko wenyewe ni Rand 5500 kila mwezi kwa ajili ya malazi, chakula...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu na wasomi wabobezi, Najaribu kufikiri nini cha kuandika katika kukamilisha andiko la Masters katika maswala ya Fedha. nimependa kujua ninini key challenges zinazopata Banks za tanzania.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
The man is no more na aliumwa for sometimes. Kwa taarifa zilizopo ni kwamba alifariki juzi usiku tar 20. Kuna kipindi Chief alioondoka Ilboru akawa Mkuu wa Shule nadhani ni Kimyaki. Bwana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaams. Mie nasikitika sana kuona kwamba kumbe mfumo wetu wa elimu uliundwa kwa lengo moja tu, nalo ni kuwafanya watanzania wawe na mtindio wa akili. Unamaliza chuo, unapata cheti kizuri halafu...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Wanachuo; katika wakati huu ambao mmeshapokea/mnasubiri kupokea fedha za kujikimu (BOOM), jaribu kuwa na mpango mzuri wa matumizi, kuepuka kuingia katika hali ngumu ya kifedha baada ya muda mfupi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nini maana ya skill of work kwenye ufundundishaji? Hili ni jambo ambalo mtu alinibeza pale nilipokuwa nampa changamoto ambazo napata katika kufundisha wanangu. Waalimu saidieni hapa tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hi there! which is the best university in tanzania and the best course ,nimemaliza form 6 na nilikuwa nasoma combination ya eca.please members help me ...
0 Reactions
68 Replies
9K Views
Hi, Members kindly assist me to know the exactly professional of my friend as he has got the following Qualifications; 1. Diploma in Electronic Engineering. 2. Bachelar of Commerce in...
0 Reactions
2 Replies
804 Views
Hivi wadau veta ni wazuri katka mafunzo ya ufundi?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana jf hope wote mko wazima, nina swali ambalo ninahitaji msaada wenu wana jf wenzangu, ni sifa zipi mtu anatakiwa awe nazo ili awze kujiunga na chuo chochote cha urubani? manaake wengine...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimekuwa kwenye fani ya ualimu kwa muda mrefu sasa, moja ya vitu nilivyogundua (baada ya research) ni kuwa walimu wazuri ni wale waliosomea diploma ya ualimu, wakaenda makazini, au makazini then...
10 Reactions
111 Replies
11K Views
Wana jf nimekuta wa2 wanajadili maadili kati ya mwalimu wa primary na wa secondary in terms that wa secondary hawana maadili! Lets discuss this jf pals!
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Eti,jamani ni ukweli kwamba vyeti vya kutoka veta vinathaminika sana ukiwa na GPA nzuri?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom