Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wanajamvi naomba msaada kwa hii KOZI ambaye amewahi isoma Udsm **Post graduate diploma in Monitoring and Evaluation...!(udsm) Ambaya anadata zozote kuhusu hii cozi,jee haina mahesabu mahesabu,na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nipo hapa mwanza kwa muda wa wiki moja,mliopo Vyuo vya mwanza naombeni tuwasiliane, ntakua hapa mabatini.Nismsni kwa 0785144285.Ntafurahi sana kuonana nanyi.BRAVO bY SIR .......MY NICK NAME.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nipo hapa Iringa , Pembezoni ya Shule yangu ya zamani Mkwawa , kuna Jengo wanaita Hall 6 linaungua , jengo hili ni hostel za wanawake , bado moto unawaka sana ! bila shaka litateketea Lote !
0 Reactions
36 Replies
5K Views
leo wanafunzi wa chuo kikuuu cha dodoma wanaounda organization inayojulikana kama udom chamber leo wametoa msaada wa vifaa vya usafi na mazingira katika shule ya sekondari...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika coz hizi zna kazi nyingi?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
habari wana jf! jamani nahtaji kujua utaratibu wa elimu ya uganda kwa 4m5 na 6' je wanatumia qualification gan kujiunga? na comb zao zipo vipi? na pia ningependa kujua mengine mengi kuhusu ubora...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kilio cha vijana wa udsm ambao walikua hawajui watarudije chuon kutokana na wengi wao kukosa nauli,kimesikika,na leo account zetu zinasomeka fresh..
0 Reactions
43 Replies
6K Views
hivi kazi za ma nutritionist zina uhusiano na udaktari? Na ni vyuo gani hapa nchini vinatoa hiyo course?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Fungua aris,check matokeo yako,then tuhabarishe una supp ngap..binafc cna supp ila nina makarai ya kutosha.over
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa wale walio appeal bodi ya mikopo na sikitika kuwaambia wale wa mwaka wa kwanza mlio nyimwa na kuambiwa ni NON PRIORITY sasa HESLB wanawaita ni UNSUCCESSFUL na wamenyimwa tena. kamakawaida...
0 Reactions
0 Replies
10K Views
Naombeni kuuliza wapendwa hivi ukipata kazi na payrol itoke baada ya muda uiache upate kazi nyingine je utakaporipoti kuta kuwa na tatizo lolote? je haitaleta usumbufu kwenye payrol?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale wanafunzi wa St Augustine walioanza 2nd sem tangu tar 13 february msitegemee kupata boom hivi punde. Kuna tetesi ya kwamba yule jamaa Alex akishirikiana na baadhi ya viongozi wamedeposit...
3 Reactions
74 Replies
7K Views
Kuna taarifa muhimu kwaajili ya wanafunzi waliodahiliwa na tume ya vyuo vikuu mwaka jana lkn wakashindwa kujiunga na vyuo husika kutokana na sababu mbalimbali, mtembelee website ya TcU.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Missed :p
0 Reactions
8 Replies
1K Views
2. STASHAHADA YA UALIMU ELIMU MAALUM: MUDA WA MAFUNZO NI MIAKA 2 Mwombaji awe na sifa zifuatazo: (a) Mwalimu mwenye Stashahada ya Ualimu fani ya Sayansi au Sayansi ya Jamii na uzoefu kazini...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Aisee, watu wamechoka maisha ya kitaa, majina ya wanaopangiwa hurushwa wapi na lini yanaweza toka maana shule za private wameshaanza kufungua......
0 Reactions
10 Replies
5K Views
As-Salamu Alaykum wana JF. Wana jamvi wenzangu naomba msaada wenu wa kiushauri. Kuna vijana walimaliza form four mwaka jana na matokeo yao yametoka mwaka huu, lakini kwa bahati mbaya wakafeli kwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
jaman ndugu zangu nataka kujua hivi huwa serikali ni nani mpaka leo sielewi Mara serikali imekataza hiki majibu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni wiki ya pili sasa tangu chuo cha muhimbili kifungue lakini wanafunzi bado hawajapewa fedha zao za kujikimu.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom