Wahenga walisema elimu haina mwisho. Hivyo hivyo kwenye Teknohama umuhimu wa wadau kupitia pitia mabukuleti na machapisho ya wataalam . Ni sababu hiyo naleta chapisho linalohusi VITABU...
The optimist says the glass is half full.
The pessimist says the glass is half empty.
The project manager says the glass is twice as big as it needs to be.
The realist says the glass contains...
Nahitaji topics za vipindi hivi:
BASIC APPLIED MATH. fV na VI.
General Knowledge fV na VI
Ukipenda niambie pia vitabu vizuri vya masomo hayo.
Asanteni kwa msaada wenu.
Habari, nina mtu wa karibu yangu anaomba mchanganuo wa kupata chuo. Amemaliza form 4,mwaka jana,but ana div ya 31. Yupo Dar.
Matokeo yake ni
Civi-D
Kiswa-D
Geog-F
Engl-D
Math-F
Bios-F...
Mwalimu ni mtu ambaye ni wa muhimu sana kwa maisha ya mwanafunzi yeyote yule na kupitia mwalimu tunapata madaktari,wanasheria,wabunge na wahasibu,ila kwa baadhi ya wanafunzi wanawadharau sana watu...
Ndugu walimu wapya 2012 naomba kujua je wenzetu kuna taarifa yoyote au kuna watu wameshapata salary ya ajabumwezi huu? hapa Kigoma hali ni ngumu sana kwa sababu tokea tumeripoti tarehe 1 Febr...
tafadhali wapendwa jf,
Kuna jamaa anauliza eti ana passing tano za olevel kwa vyeti 2 tofauti(ali risti mara 2)sasa anauliza kama anaweza kusoma module?
Mwaka huu darasa la saba wanatarajiwa kufanya mitihani kwa kujaza majibu kwe fomu maalumu ziitwazo OMR. Watatumia pensel maalum za hb. Je wanafunzi wetu wataweza kweli kwa mfumo huu mpya...
It is so sad that we don't spend our times and efforts to come out with our own things. This is what happened to one of the renowned professionals in conservation from Congo who is also a director...
hi JF thinkers
nimeskia tetesi toka moja ya maprofesa kwamba wanampango wa kuunganisha vyuo vitatu kama ilivokuwa awali. wakati hayo yakisemwa nkiwa moja ya semina leo nimeskia pia mara COET...
Hi wana JF, naomba msaada wa PDF ya kitabu tajwa hapo.. Nimejaribu kukitafuta google nimeshindwa kukipata, napata 3rd edition, ila nakihitaji cha 2nd edition..
Wapendwa anayejua policy ya mikopo toka bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi wa medicine/dds etc ..... Anisaidie. Sina uhakika kama bado wanapewa upendeleo (100% loan/free???) kama...
Wadau jana nilipita sehemu nikakutana na mdahalo mzito sana watu wakibishana hivi mtu kama wazili anatakiwa na elimu kuanzia level gani je ni degree,masters,phd....au diploma
kwawale walio maliza form 4,form 6 na chuo na wangependa kusoma india.
napenda kueajulisha kwamba wanaweza kuomba admission katika kozi mbalimbali
mwisho wa maombi ni mweziwa tano
asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.