Nani alaumiwe? Mholanzi aliyemchapa vibao Mwalimu Mkuu baada ya kukuta wanafunzi wako madarasani hawasomi wakati walimu wamekaa wanapanga ratiba? Huyo Mholanzi ni mfadhili wa shule.
Au ndio kale...
2. STASHAHADA YA UALIMU ELIMU MAALUM: MUDA WA MAFUNZO NI MIAKA 2
Mwombaji awe na sifa zifuatazo:
(a) Mwalimu mwenye Stashahada ya Ualimu fani ya Sayansi au Sayansi ya Jamii na uzoefu kazini...
Wanafunzi wamekuwa wakigoma kuonyesha udhalimu wa serikali na viongozi wake.sasa nimefurahi kuona hata jumuiya ya wafanyakazi waajiriwa wamelianzisha .huu ndo mwanzo wa mwisho wa umasikini wa...
Ndugu zangu,
Shule ya sekondari Majengo iliyopo mjini Moshi itaadhimisha Jubilee ya miaka 25 mwezi Oktoba 2011. Ili kupamba maadhimisho haya imeonekana ni muhimu wanafunzi wote waliomaliza katika...
Na Mwinyi Sadallah
11th March 2012
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania, (TCU) imesema iwapo itasimamia ipasavyo sheria yake Vyuo Vikuu vya Tanzania vitalazimika kufungwa...
Wale mliopitia vyuo vikuu mna uzoefu na hili.Wakati wanafunzi wanafanya UE,huandika majibu yao katika Examinaton Answers Booklets.Matokeo ya UE hutolewa bila wanafunzi kuona nini walichopata.Kumbe...
In a bid to recover 811bn/- in outstanding debts, the Higher Education Students Loans Board has launched a major hunt for the defaulters, enlisting assistance of the guarantors and local...
Eti kwa wanaojua take-home ya degree ambao kwa mwakahuu basic ni 469,200 ni shingapi? Mbona wanapewa 371,000 ? Is it fare? Give us informations plz "knowers"
jamani nimesikia kuwa profesa ibrahim lipumba amechaguliwa kuwa ni profesa bola wa uchumi duniani amechaguliwa na umoja wa kimataifa huko marekani na kupewa jukumu la kusimamia uchumi wa dunia...
wadau kwanza nabisha hodi jukwaani.naomba mnikaribishe.nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi inayoendelea humu JF kwa muda bila kuchangia chochote,si kwamba nilikuwa sioni cha kuchangia,bali...
Kuna rafiki angu
alikua anatafta msaada wa hii mitihan ya bodi pamoja na open unverst katka usomaj pamoja na ajila kwa ujumla ili apate infromation zaidi wakuu hasa hii mitihan ya bodi ni coz zip...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.