Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari ndugu wa jf.. Hapa chuoni kwetu MZUMBE kuna mbunge wa viti maalum-CCM anatokea Singida, kwa bahati mbaya kila nikijaribu kujua jina lake nashindwa kulipata. Kozi ya CHRM-certificate of...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Na Jimmy Mfuru 20th March 2012 Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo Wanafunzi 234 kati ya waliofaulu mtihani wa darasa la saba mwaka jana, na kuchaguliwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani nimeprove tetesi hizi ambazo zimekuwa zikisemwa juu juu kuhusu chuo kikuu cha Tumaini kuwa kinaendeshwa kiundugu, kikabila na kidini zaidi. Watu wengine tunaonekana kama takataka tuu, mtu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Chuo kikuu cha Dodoma hadi sasa tangu chuo kifunguliwe tarehe 03/03/2012,kwa semista ya pili hawajatoa pesa za kujikimu kwa wanafunzi na hakuna taarifa rasmi wanatoa lini.Kumbuka mwezi wa kwanza...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mdogo wangu anataka kwenda advance naomba nizijue shule zinazofanya vizuri kwa sasa sanasana za Dar es salaam pamoja na ada zake if possible! Thank u in advance.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Inasikitisha kuona kuwa tunaanza semista ya pili wiki ya pili sasa (udom) bila kuwa na chochote katika akaunti zetu kwa wale tunaoitegemea serikali kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB)...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mara nyingi waalimu wamekuwa wakilalamika kuonewa katika stahili zao. Kuna wakati walijitutumua kudai kwa msimamo wa nchi nzima. Lakini kwa aibu waliishia kurushiana viatu, mawe, viti...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
ALIPOJITAMBUA hana baba wala mama, aliichukulia elimu kuwa tumaini na mkombozi pekee wa maisha yake. Hivi ndivyo Abubakar Rashid (16) mwanafunzi kinara wa masomo ya Sayansi aliyeshika nafasi ya...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Tanzania anger over red ribbon labels for HIV pupils Pupils wearing ribbons are excused from chores like fetching water. Campaigners in Tanzania have criticised some schools for...
0 Reactions
76 Replies
8K Views
Wakuu!bodi ya mikopo imewanyima ela ya field wanafunzi 250 wa chuo cha RUCO na kuwapa wachache.hii dalili ya nini?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
What are accounting entries for goods demaged in transit to profit and loss accounts and trading a/c
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kweli kuna matatizo katika shule za msingi kwamba kuna matendo maovu yanatokea;inafaa Wizara ya Elimu ifanye utafiti kujua, siyo nanai nafanya haya mambo ya ovyo,isipokuwa kujua asilimia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
As French Republic supplies computers and TV sets to schools A section of French language laboratory with modern computers supplied to Usagara Secondary School in Tanga Region by...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau nimekuwa najiuliza jinsi ya kusoma masters bila kuwepo kwenye maeneo ya chuo inakuwaje. Kwa sabab mazingira niliyonayo mimi ni ya kujiajiri na nisingependa kupoteza muda wangu kwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kauli ya Katibu Mtendaji wa NECTA, Dr Rose Ndalichako, eti mitihani ya darasa la Saba kusahihishwa na machine, ziitwazo Optical Marker Reader (OMR) tuta succeed kweli? au because primary ni ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi ni wapi wanatoa sponsorship za masterz kusomea hapahapa Tanzania,i really nid to know
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu kun mdogo wangu anadivision four ya poimt 29, amejaribu kulisiti akafeli.Sasa naomba ushauri nimpeleke kozi gani itakoyo mtoa mapema?
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Nimepokea taarifa za msiba wa mwanafunzi wa chuo cha ualimu nachingwea aitwaye anna tuli mwaka wa kwanza (grade iiia) kilichotokea huko wilayani ruangwa-lindi alikokuwa akifanya mazoezi (teaching...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hata mitaala ikibadilishwa namna gani, kama miundo mbinu itaendelea kuwa yenye hali kama hiyo inayoonyeshwa kwenye hicho kipande cha taarifa ya habari hapo chini, mabadiliko hayo yatakuwa ni kazi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba msaada wewe, ni chuo gani hapa Tanzania kinatoa masters ya Project Planning Management?
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Back
Top Bottom